luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,927
- Thread starter
- #681
Unajua muuza kitimoto hapo mwanza anaingiza shilingi ngapi kwa Siku?/mwezi?Hapa Mwanza kazi yenu ni pub na kuchoma Kitimoto hakuna cha zaidi kipi kingine mlichonacho? Magorofa machache mliyojenga kwa mikopo ya CRDB Sasa wazawa tunayanunua kupitia minada ya benki Maana mnashindwa kurejesha mikopo kutokana na ukata baada ya mianya ya madili kuzibwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Héla anayoingiza huwezi mfikia ndio maana unakuta muuza kitimoto lkn anamiliki nyumba 3 za kupangisha hapo mwanza na kule uchagani unakuta ameshajenga hekalu,umeona akili kubwa ?
Sio wewe unawaza kucheza na chatu
Sent using Jamii Forums mobile app