INRI
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 1,354
- 2,405
Mmeshindwa hoja mnakimbilia leftovers? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Joan Rite na Denis Kinyange amejua kuwanyoosha aysee hadi mnaleta mabaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeshindwa hoja mnakimbilia leftovers? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Matokeo ya darasa la 7 mwaka jana, tulitembeza kipigo kwa senene pamoja na nyie weziUmelewa ulanz wewe hebu niwekee hapa ya miaka mingine mnayokuwaga top 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mikoa mingine hawana,.shule za private???Hizo ni Shule za private za bweni zenye wanafunzi mchanganyiko kutoka mikoa mbalimbali.
Ndio maana unaona kuna shule kutoka Mbeya na Mwanza zimeshika nafasi za juu lakini huwaoni hapa watu wa mikoa hiyo wajimwambafai.
Wachagga sijui mmepatwa na nini, aisee.
Mbona huweki majina ya Top Best Perfomers tuone kama kuna mangi.
Amma matokeo ya shule za kata, maana hayo ndio tafsiri halisi ya jamii husika
Sio ukabila, Wachagga tumepiga hatua kubwa sana kwenye elimu.Yaani ukitaka kujua Tanzania nako kuna ukabila nenda Muhimbili NH, kuna tifu la Wahaya, Wasukuma na Wachaga.. Yaani kila idara iko populated na kabila mojawapo fulani... Nakumbuka kuna jamaa wakati tuko tunafanya baadhi ya vitu fulani vya kimasomo huko wodini aliulizwa kuwa kaja kufanya nini huku wakati wenzio wako idara x.. Mfano Radiology kabla uongozi hajapewa yule mama ilikuwa lazima uwe unatokea karibu na Mlima ndo upate ajira...
Angalia fee structure ya International School of moshi. Ndio uongee upupu wako.
Hawalipii kwa Tsh. Ni dollars.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa how come mdudu gani Kemebos awe compared to this school with international standards?
Shule haijulikani hata kenya. [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1319998
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba huon kagera alivyokuzidiMatokeo ya darasa la 7 mwaka jana, tulitembeza kipigo kwa senene pamoja na nyie weziView attachment 1320002
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilipata kijiti cha 7- PCB, Mzumbe.unauliza kabila zama hizi, acha undezi
wewe ulipata one ya ngap?
Btw kabila langu ndo linamadaktar wengi Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilipata kijiti cha 7- PCB, Mzumbe.
Napambana kutimiza ndoto.
Kabila gani mbali ya Wachagga na wahaya lina madaktari hapa Tanzania kwa wingi? [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kidole ni cha kawaida au cha kware?(utani tu)Lakin Pia wilaya ya muleba ndo wilaya inayoongoza Kwa shule nyingi tz.
View attachment 1319745
Sent using Jamii Forums mobile app
Naijua kilaza wewe, au unajua ni ya form four?
Kwa huu uelewa basi Mama Ndelichako yuko na kazi si kitoto.Wewe kweli haunazo
Kwamba maendeleo ya kilimanjaro yameletwa na mlima? Hahaha
Kwa mujibu wa takwimu kilimanjaro Ni mkoa wa PILI kwa wananchi wake kuwa na kipato kikubwa(maisha Bora) kwa 90% baada ya dar 92%
Kilimanjaro Ni mkoa wenye makazi Bora vijijin kuliko mkoa wowote labda kagera kwa mbali
Kilimanjaro ni mkoa wa kwanza kuwa na shule nyingi
Kilimanjaro ni mkoa wa kwanza kuwa na huduma za kijamii vijin kwa 95% yaan maji umeme, hospital nk uliwahi sikia kilimanjaro kuna shida ya maji,umeme au hospital? Je vimeletwa na mlima? Shwaini wew
Kilimanjaro Ni wafanyabiashara na wapenda elimu ndio maana Hakuna mkoa au sehemu yoyote tz utamkosa mchaga,maofisini kote wapo tena vitengo sensitive je vimeletwa na mlima?
Ukija kwenye biashara wewe mwenyewe unajua ukiondoa wahindi ,watu wenye héla ni wachaga
Précision air inamilikiwa na mchaga,kampuni za mabasi TANZANIA 40% zinamilikiwa na wachaga,je vyote hivyo vimeletwa na wazungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huyo Kinyange aliekuwa anasoma Mwanza yeye Kilimanjaro hakukuwa na shule ?Kwani mikoa mingine hwKwani mikoa mingine hawana,.shule za private???
Sent using Jamii Forums mobile app
Naijua kilaza wewe, au unajua ni ya form four?
Nilipata BBC- PCB, one point Seven.
Una lingine we kiazi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]1 ya 7 kwa mzumbe ni matokeo mabovu, au ulidatishwa na videmu vya changarawe?
Sent using Jamii Forums mobile app