Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Sawa ila usitupangie tujadili matokeo yapi! Kama mnavyojadili maeneo mliyofanya vizuri na sisi tunajadili maeneo tuliyofanya vizuri.

KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Matokeo yote ya la nne,form two na form four kagera imechapwa na kilimanjaro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio ukabila, Wachagga tumepiga hatua kubwa sana kwenye elimu.

Idara za neurology, Opthalmology, Paediatric, EMD, Orthopedic, Cardiology, Nephrology, Urology, Mammogram, X-rays, Radiology, zote hizi dominant tribe ni Wachagga.

Tembelea Muhimbili, utajifunza kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameen na hapo hujaenda hospital zingine nako Ni dominant yaan kila idara chagas wamejaa kama utitiri duh elimu kweli Ni mkombizi
Cc
Kaina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa huu uelewa basi Mama Ndelichako yuko na kazi si kitoto.
Naona umeyashambulia maneno niliyoyaandika kwa mbwembwe bila kuelewa sentensi niliyoiandika... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maendeleo ya kilimanjaro Ni akili kubwa ya watu wa kilimanjaro ingekuwa Ni mbeleko basi wazungu walipondoka tungeona imerudi nyuma
Kule kilimanjaro wananchi wanapenda kuchangia maendeleo Sana ndio maana Hakuna shida ya zahanati, Wala shule unadhani Kama sio nguvu ya kuchangia vingekuwepo? Kuna maeneo hadi sasa hvi hayana hospital za wilaya wakati kule kilimanjaro karibu kila wilaya ina hospital tatu
Kuna maeneo mengine lami Ni anasa wakati kilimanjaro maeneo mengi vijin ndan ndan Kuna lami
Wakati maeneo mengine hawana umeme, kilimanjaro umeme upo tangu 1980's Tena kwa 90%
Wakati maeneo mengine wana shida ya maji , kilimanjaro upatikanaji wa maji Ni 95%
Mwaka Jana jimbo la vunjo wananchi walichanga bilion 7 kukarabati barabara zote za jimbo hii kitu uliwahi iona wapi?
KILIMANJARO NI MWALIMU WA MAENDELEO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu salaam
Kama mada inavyoeleza,mkoa wa kilimanjaro umeendelea kuwa kinara wa elimu nchini,hii Ni kwa mujibu wa matokeo ya mitihani mbalimbali
Takribani kila mwaka mkoa huu unashika nafasi ya kwanza kitaifa kwa mitihani ya kidato Cha nne
Katika mwaka huu , kilimanjaro imekuwa ktk nafasi zifuatazo katika mitihani mbalimbali
1:KIDATO CHA NNE: Kilimanjaro imekuwa ya KWANZA kitaifa
2:KIDATO CHA PILI: Kilimanjaro imekuwa ya 3 kitaifa
3DARASA LA NNE: Kilimanjaro imekuwa ya 3 kitaifa
Hongereni viongozi na wananchi wa kilimanjaro kwa kuendeleza mizizi ta elimu iliyoasisiwa mkoani hapo tangu enzi na enzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu gani mnayotambia? Ya kudumisha ufisadi na ukabila? Wezi wa mali ya umma nyie!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ni moja ndugu zangu wa Kilimanjaro, dhambi ya usaliti haina kikomo mjue. Leo mnajibagua kwamba wakilimanjaro mmebarikiwa ila tukiwaacha wenyewe mtaanza kujiuliza makabila yenu baada ya hapo zitafuata koo zenu na familia zenu. Mbona mikoa mingine iliyoingia tatu bora mfululizo haijisifii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maendeleo ya kilimanjaro Ni akili kubwa ya watu wa kilimanjaro ingekuwa Ni mbeleko basi wazungu walipondoka tungeona imerudi nyuma
Kule kilimanjaro wananchi wanapenda kuchangia maendeleo Sana ndio maana Hakuna shida ya zahanati, Wala shule unadhani Kama sio nguvu ya kuchangia vingekuwepo? Kuna maeneo hadi sasa hvi hayana hospital za wilaya wakati kule kilimanjaro karibu kila wilaya ina hospital tatu
Kuna maeneo mengine lami Ni anasa wakati kilimanjaro maeneo mengi vijin ndan ndan Kuna lami
Wakati maeneo mengine hawana umeme, kilimanjaro umeme upo tangu 1980's Tena kwa 90%
Wakati maeneo mengine wana shida ya maji , kilimanjaro upatikanaji wa maji Ni 95%
Mwaka Jana jimbo la vunjo wananchi walichanga bilion 7 kukarabati barabara zote za jimbo hii kitu uliwahi iona wapi?
KILIMANJARO NI MWALIMU WA MAENDELEO

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu hayo yote unayoyasema ni 100% correct but still ni matokeo yaliyoletwa na MZUNGU aliyefuata Mlima ndo nami nasema mumshukuru... Sasa whether mko na akili ya kuyaendeleza waliyoyaacha au hamkuyaendeleza that was none of my concern, sawa? 😁😁😁
 
Back
Top Bottom