Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Ndo maana nimesema wamshukuru Mungu aliwapa ule Mlima uliowaleta Wazungu...
Wewe kweli haunazo
Kwamba maendeleo ya kilimanjaro yameletwa na mlima? Hahaha
Kwa mujibu wa takwimu kilimanjaro Ni mkoa wa PILI kwa wananchi wake kuwa na kipato kikubwa(maisha Bora) kwa 90% baada ya dar 92%
Kilimanjaro Ni mkoa wenye makazi Bora vijijin kuliko mkoa wowote labda kagera kwa mbali
Kilimanjaro ni mkoa wa kwanza kuwa na shule nyingi
Kilimanjaro ni mkoa wa kwanza kuwa na huduma za kijamii vijin kwa 95% yaan maji umeme, hospital nk uliwahi sikia kilimanjaro kuna shida ya maji,umeme au hospital? Je vimeletwa na mlima? Shwaini wew
Kilimanjaro Ni wafanyabiashara na wapenda elimu ndio maana Hakuna mkoa au sehemu yoyote tz utamkosa mchaga,maofisini kote wapo tena vitengo sensitive je vimeletwa na mlima?
Ukija kwenye biashara wewe mwenyewe unajua ukiondoa wahindi ,watu wenye héla ni wachaga
Précision air inamilikiwa na mchaga,kampuni za mabasi TANZANIA 40% zinamilikiwa na wachaga,je vyote hivyo vimeletwa na wazungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kidato cha pili namba moja ni arusha then namba 2 ni Iringa, usitutafutie kesi sisi wala mbwa tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Mara tunakwama Wapi!! Any way aliyepewa kapewa tu K/Manjaro wamebarikiwa na wana juhudi vile vile but isiwe sababu ya kuwadharau others na kujiona superior..nawajua wachagga wajinga wengi tu.. siyo kila mchagga ni genius, Na sis makabila mengine tusiwaonee wivu but tukaze buti kuimarisha miondombinu ya shule na kuhamasisha vijana kusoma..
 
Sawa ila usitupangie tujadili matokeo yapi! Kama mnavyojadili maeneo mliyofanya vizuri na sisi tunajadili maeneo tuliyofanya vizuri.

KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwan hayo mengine hatujawapiga? Ya form two mbona kilimanjaro imeipiga kagera?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha please.usitudanganye na sijui international [emoji1787][emoji1787]

Maana nipo Dar sasa sijaona shule yenye mabasi kama kaizirege.

Feza yenyew bado.

Kumbuka kaizirege na kemebos ni boarding school..

Unaweza ukaogopa .
Mabasi hayo hapoView attachment 1319726

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia fee structure ya International School of moshi. Ndio uongee upupu wako.

Hawalipii kwa Tsh. Ni dollars.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa how come mdudu gani Kemebos awe compared to this school with international standards?

Shule haijulikani hata kenya. [emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20191211-200246~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom