Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Hawa vijana wa Kilimanjaro wana vituko, kama wangekuwa na akili kama Wahaya basi hii nchi wangekuwa wameshafukuza makabila mengine ambao elimu imetuacha nyuma kidogo. Bado naamini hakuna kabila lenye vijana wenye akili na uwezo mzuri kichwani kama Wahaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unayoongea ni kweli kabisa

Top ten wavulana kuna wahaya wanne huku top ten wasichana kuna wahaya wanne pia .
Hebu tazama hapo mtasingwa,mujungu,mjuni, nyangoma,ngonza,kemilembe nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kemebos ya kwanza.

Nani hajui mnavyoiba mitihani?

Kwanini Kaizirege ilifungiwa? ( Uibaji mitihani).

Unajua mmliki wa Kemebos ndio yule wa Kaizirege?

Anyway, Kilimanjaro ya kwanza kimkoa

KILIMANJARO , imetoa T.O wa kike Joan Rite. Yupo mwamba Mwingine somebody Kinyange.


Uzi wa vijijini niliacha kuchangia kwasababu Mkoa mzima wa KAGERA, hakuna Hekalu kama la Mengi, sasa tunabishana na watu wenye mabanda ya kufugia paka?

Wachagga sio level zenu hapa Tanzania nzima kwenye maendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kaizirege ilifungiwa lini mbona IPO mkuu


Kaizirege mwaka huu ni 23 kitaifa na IPO siku zote.
Halafu top ten mbona kuna wahaya nane! Wote wasichana na wavulana.

Au mjuni, mutasingwa, nyangoma ni wachaga???


Mkuu unashangaza eti.

Kwanza kagera ni ya Saba form four hata haiko mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa umeona majembe mawili ya KICHAGGA?

Joan Rite- Wa kwanza KITAIFA- MCHAGGA.

Denis Stephen Kinyange- Wapili Kitaifa- MCHAGGA.

zingine za chini tumeachia mikoa mingine ipiganie.

Bila kusahau, KILIMANJARO ni mkoa wa kwanza kitaifa matokeo ya form four.

KILIMANJARO BABA LAO.

kagera na Katerero tupaaah kuleee! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mnaanzisha Uzi kisa hao watu wawili [emoji23][emoji23][emoji23]

Top ten wasichanà na wavulana wahaya ni nane Kwa ujumla wap[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TO wote wawili ni Wachagga.

Joan Rite na Denis Kinyange.

Unaanzaje kusema hao wachezea Katerero wana akili?

[emoji44][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wee kweli ni mburura kabisa.

Hebu hesabu idadi ya wahaya kama hawafiki nane[emoji23][emoji23]

Yaan nyie hao wawili ndo mnaanzisha Uzi.
tapatalk_1578716545506.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi
Bro hii ni tangu ukoloni sio kwamba imeanza juzi....,ukisema wanaosoma huko ni wakazi wa dar na mwanza,kwanini wazazi wa Dar/Mwanza kama wanatambua elimu wasijenge hizo shule huko kwao ili kuepuka gharama za nauli...?????


Acha kujutoa ufahamu na wivu wa kizamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto hatakiwi kusoma karibu na nyumbani
 
Hizo ni Shule za private za bweni zenye wanafunzi mchanganyiko kutoka mikoa mbalimbali.

Ndio maana unaona kuna shule kutoka Mbeya na Mwanza zimeshika nafasi za juu lakini huwaoni hapa watu wa mikoa hiyo wajimwambafai.

Wachagga sijui mmepatwa na nini, aisee.

Mbona huweki majina ya Top Best Perfomers tuone kama kuna mangi.

Amma matokeo ya shule za kata, maana hayo ndio tafsiri halisi ya jamii husika
Ameupongeza mkoa kwa kufanya vizuri,kwanini wewe unateseka?
 
Umemsahau @instabul

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaogopa kuniita maana wahaya tunawaburuza mbali Sana wachaga kweli kwenye elimu.

Angalia hizo top ten wahaya wako nane huku wachaga wawili[emoji23][emoji23] hata ungekuwa wew ungeogopa kuniita.


Bado top ten kagera ni ya pili form two na darasa la nne huku Kilimanjaro ikitupwa kule

Bukoba ya pili moshi ya nane huko!!!
tapatalk_1578716545506.jpeg
tapatalk_1578654034671.jpeg
tapatalk_1578585714492.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi sikia mhaya anaitwa nyagoma toa chai yako hapa
PILI ukija kimikoa , kilimanjaro imeichakaza mno kagera matokeo yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani sikia huyu mtu.haamini anachoona[emoji23][emoji23]

Tena anaitwa
Nyangoma wamara kabisa .


Nyangoma
Nyamwiza
Nyakato eti sio wahaya[emoji23][emoji23]


Hapa naona mjuni, mutasingwa nk

Yaan jumla wahaya ni nane!!!
tapatalk_1578716545506.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan Kuna shida gan?
Wanafunz kumi Bora wa kwanza na wa PILI wote wachaga
Shule kumi Bora mbili za Kilimandjaro moja ya kagera sasa unataka nn

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] oyaa Bora ukubali Tu.

Wahaya ndo the best Kwa elimu tz ..


Hebu tazama majina yote haya 95% ni wahaya.

Na naona A tupu[emoji23][emoji23]


Wachaga mko wap
tapatalk_1578653636992.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi mi nikiwa kiongozi haya makabila mawili, wachaga na wahaya nitawafanyia kitu cha kukomesha huu ujinga.

Wanajisikia sana na kudharau makundi mengine.

Matokeo yakitoka wao wanaangalia kwa jicho la ukabila badala ya utaifa.

Miaka mingi mfululizo matokeo ya kidato cha 6 inaongoza mikoa ya kusini wala hatuwasikii tambo zao zaidi ya kulalamika tu.

Pwambafu sana wachaga na wahaya. Hii nchi sio ya kwenu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha Asante kwa kumpa za uso kumbe hawa wahaya ni wezi wa mitihani sikujua hilo na ni kweli mmiliki wa kaizerege ndio huyo huyo wa kmboys instanbul hebu uje hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli nyie watu mna wivu na roho mbaya .


Kwa kemebos Kwa kuwa wa Kwanza ndo wameiba mtihani Kwa kuwa sio wachaga[emoji23][emoji23]


Kubalini ukweli Tu wahaya wanawazidi mbali kwenye mambo mengi Tu.kubalini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kemebos ya kwanza.

Nani hajui mnavyoiba mitihani?

Kwanini Kaizirege ilifungiwa? ( Uibaji mitihani).

Unajua mmliki wa Kemebos ndio yule wa Kaizirege?

Anyway, Kilimanjaro ya kwanza kimkoa

KILIMANJARO , imetoa T.O wa kike Joan Rite. Yupo mwamba Mwingine somebody Kinyange.


Uzi wa vijijini niliacha kuchangia kwasababu Mkoa mzima wa KAGERA, hakuna Hekalu kama la Mengi, sasa tunabishana na watu wenye mabanda ya kufugia paka?

Wachagga sio level zenu hapa Tanzania nzima kwenye maendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kichaa so lazima uokote makopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iringa tumepiga hat trick lakin hatujaanzisha uzi, pamoja na kuingia kwny pepa tukiwa tumelewa ulanzi lakin tumewakalisha wahaya na wachaga, wachaga wametukimbiza kwny CSEE tu, wahaya tumechapa kote kote

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahaya mmewachapa kote kote wap??

Yaan nyie watu wa iringa mnaweza vip ??

Hebu tazama bukoba muleba na kagera ni ya ngap halafu leta kiiringa chako
tapatalk_1578575351347.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi mi nikiwa kiongozi haya makabila mawili, wachaga na wahaya nitawafanyia kitu cha kukomesha huu ujinga.

Wanajisikia sana na kudharau makundi mengine.

Matokeo yakitoka wao wanaangalia kwa jicho la ukabila badala ya utaifa.

Miaka mingi mfululizo matokeo ya kidato cha 6 inaongoza mikoa ya kusini wala hatuwasikii tambo zao zaidi ya kulalamika tu.

Pwambafu sana wachaga na wahaya. Hii nchi sio ya kwenu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mikoa ya kusini form six.

Hiv hujui kuwa form five watu huamishwa mikoa??


Hebu ona top teni wasichana na wavulana


Wahaya wapo nane Kwa nini tusijisifu hata ingekuwa nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katetero kumbe hujui hata kuangalia matokeo? Arusha,iringa na kilimanjaro wameongoza kotekote, nyie hata top 5 hamjanusaView attachment 1319056

Sent using Jamii Forums mobile app
We akili huna unaleta Facebook?

Mkuu haya ndo matokeo halisi.

Nationa kagera ya pili darasa la nne.

Halafu shule za kagera na Kilimanjaro ni nyingi kuzidi shule za watu wa Dar walio milion 6!!!.


Pia angalia halmashauri kama wilaya za wahaya hazijajaa
tapatalk_1578585714492.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom