luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,927
- Thread starter
- #261
Mulika mwizi inabidi tuwapige limit wanaoa Sana uchagani Hawa wazee wa senene[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Ndugu zangu wasukuma mkae kimya kabisa na nyie wahehe. Mnapwaya sana kwenye hizi ligi.
Kabila ambalo lina uhaueni na kidogo kubishana nao ni hawa wakamata senene na wazee wa Katerero.
Wahaya kulikoni siku hizi mnaolewa sana na Wachagga? Mnataka kuiba akili na maendeleo? Tushawashitukia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app