Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Iringa tumepiga hat trick lakin hatujaanzisha uzi, pamoja na kuingia kwny pepa tukiwa tumelewa ulanzi lakin tumewakalisha wahaya na wachaga, wachaga wametukimbiza kwny CSEE tu, wahaya tumechapa kote kote

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]

Wahaya wamechapwa kotekote... Dadeeki.

Wanajua kula senene wabichi na Katerero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kaizirege ilifungiwa lini mbona IPO mkuu


Kaizirege mwaka huu ni 23 kitaifa na IPO siku zote.
Halafu top ten mbona kuna wahaya nane! Wote wasichana na wavulana.

Au mjuni, mutasingwa, nyangoma ni wachaga???


Mkuu unashangaza eti.

Kwanza kagera ni ya Saba form four hata haiko mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaizirege ilifungiwa kwa muda kwa sababu ya udanganyifu.

Mmiliki wa hizo shule ni mmoja.

Mchezo wenu tunaujua.

All in All, Taifa limetutolea Binti Mmoja wa kichagga kati ya watahiniwa Maelfu, kuwa nambari one.

Naam Joan Rite- MCHAGGA

Nafasi ya pili kamuachia kaka yake, Denis Stephen Kinyange- MCHAGGA.

Nyingine hizo leftovers, tumeacha kwa kabila zingine, Unajisikiaje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

If that is not enough, KILIMANJARO ni mkoa nambari moja kitaifa kwa ufaulu.

What else do you need to hear from Blessed region, KILIMANJARO? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mnaanzisha Uzi kisa hao watu wawili [emoji23][emoji23][emoji23]

Top ten wasichanà na wavulana wahaya ni nane Kwa ujumla wap[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao nane nani Kinara wao? [emoji23][emoji23][emoji23]

Ni Joan Rite na Denis Kinyange.

Wote hao wamekaa chini.

By the way, una uhakika Top ten, ukiacha hawa majembe wa kichagga, the rest ni wahaya?

Ebu tuletee ushahidi wa documents.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee kweli ni mburura kabisa.

Hebu hesabu idadi ya wahaya kama hawafiki nane[emoji23][emoji23]

Yaan nyie hao wawili ndo mnaanzisha Uzi.View attachment 1319035

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Wachagga huwaoni hapo?

1. Joan Rite. St. Francis

2. Denis Stephen Kinyange.

3. Henry Kimbori- Centennial
Christian seminary

4. Martha Emmanuel Ngowi

5. Richardson Kwareh- Centennial Christian center

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usicheze na Wachagga weyee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] oyaa Bora ukubali Tu.

Wahaya ndo the best Kwa elimu tz ..


Hebu tazama majina yote haya 95% ni wahaya.

Na naona A tupu[emoji23][emoji23]


Wachaga mko wap
View attachment 1319041

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachagga tupo Namba moja na mbili kitaifa.

Shule ina A's zote, haina TO? Useless.

Ulitegemea tuwepo hiyo shule tushike namba za kwenu kuanzia tano kushuka chini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mchagga utamuona kileleni juu, kama mlima Kilimanjaro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi mi nikiwa kiongozi haya makabila mawili, wachaga na wahaya nitawafanyia kitu cha kukomesha huu ujinga.

Wanajisikia sana na kudharau makundi mengine.

Matokeo yakitoka wao wanaangalia kwa jicho la ukabila badala ya utaifa.

Miaka mingi mfululizo matokeo ya kidato cha 6 inaongoza mikoa ya kusini wala hatuwasikii tambo zao zaidi ya kulalamika tu.

Pwambafu sana wachaga na wahaya. Hii nchi sio ya kwenu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa sumu in luambo mikiadi's voice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli nyie watu mna wivu na roho mbaya .


Kwa kemebos Kwa kuwa wa Kwanza ndo wameiba mtihani Kwa kuwa sio wachaga[emoji23][emoji23]


Kubalini ukweli Tu wahaya wanawazidi mbali kwenye mambo mengi Tu.kubalini

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafasi ya kwanza na yapili nani kashika?

Sasa mnaanzaje kujifananisha na sisi?

Acha kufananisha apple na ndimu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hata ukiingalia idadi ya shule Tu hapa .

Kagera na Kilimanjaro wanazidi Dar Kwa idadi ya shule kabisa du.


Najua unaogopa kuitaja kagera .

Jengen vyuo tutakuja kuvijaza.

Njoo UDSM, Ardhi,Muhas, SUA, mzumbe nk wahaya mpaka unaogopaView attachment 1319114

Sent using Jamii Forums mobile app
Muhimbili, SUA, Mzumbe, Ardhi, Udsm Wachagga wamejaa sana.

Tukiweka ushabiki pembeni, Wahaya kwa Udsm hasa professor na other intellectual mpo wengi kuliko Wachagga, japo Wachagga ndio wanafuata baada ya Wahaya.

Muhimbili hakuna kabila lime dominate kama Wachagga, ikifuatiwa na wahaya then wanyakyusa.

SUA Wachagga wanaongoza hasa administration kadhalika na mzumbe.

Huo ndio ukweli mchungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom