Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Hujaelewa! Kwanini shule za Kilimanjaro kiujumla zifanye vizuri zaidi kulinganisha na hizo nyingine?
Kilimanjaro ndio inaongoza kwa kuwa na shule nyingi za private inazo nyingi kuliko za Serikali.Ni biashara Zina mazingira maziri
 
Mkuu wahaya sio level za kawaida!! Huko vijijijini kuna shule nyingi zinafanya sherehe kwa kufaulisha vizuri sana. Hatari sana
Wachaga wanashangaza Sana aisee.

Yaan Wana wivu sio wa nchii hii.

Wanaangaika Sana kuwaondoa wahaya kwenye elimu lakin wanashindwa?

Yaan hawataki kuamini kuwa asilimia kubwa ya wahaya wanaakili natural .


Watajenga mishule hata vyuo zaidi ya 200 huko Kilimanjaro lakin bado elimu hawataifikia bukoba kamwe.maana wahaya natural Wana akili ndo maana kuna shule ya kata nimeiona top ten huko sijui form two inaitwa Nyaishozi.


Waalimu wamepewa zawadi ya mitungi ya gesi baada ya kufaulisha wanafunzi wote darasa la Saba tena shule za serikali.yaan darasa zima linaenda form one

View attachment 1319238View attachment 1319239

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimanjaro ndio inaongoza kwa kuwa na shule nyingi za private inazo nyingi kuliko za Serikali.Ni biashara Zina mazingira maziri
Ahaa.. Unaona sasa umeelewa nilichomaanisha! Ndiyo maana nikasema mikoa na shule nyingine zina cha kujifunza kutoka shule za Kilimanjaro!!!!!!
 
Nilimaliza form 6 Tambaza pale mwaka flan. Nakumbuka huo mwaka kulikuwa na div one 15 shule nzima. Katika hizo 15 div one 11 zilitoka katika comb moja (sio HKL, HGK wala HGL). Na katika hili darasa kulikuwa na wahaya kibwena. Huwezi amini div one kali zilizoongoza yaani T.O (tunawaitaga Tambaza One) zilikuwa za watu wawili walilingana points na wote walikuwa wahaya! Na katika hizo div one 11 div one 8 zote zilikuwa za wahaya. Na mhaya aliyefeli alikuwa na div 2 ya 11. Jamaa walituogopa sana[emoji38][emoji38][emoji38]


Ningeweka mwaka watu mkaangalie mtandaoni maana mwaka ule waliweka majina kabisa sio namba za mtihani. Na majina ya kihaya kabisa yapo yanaonekana. Ila kwa kuwa matokeo ni siri za watu sio poa kuwaanikia mitandaoni matokeo yao.
Hawana lolote hata Mie nilisoma nao nimewaburuza Sana chuo kikuu[emoji23]

Kabila pekee nchini lenye watu wenye akili naturally ni wahaya Tu na kidogooo wakerewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona pumzi inaanza kuwaishia. Tuliwaacha tu kwanza waruke ruke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Acha nimsaidie kumuwekea vizuri! Ni kwamba darasa la nne Kagera ni ya PILI kitaifa! Msituibie na hizo screenshot za kujitengenezea wenyewe! Soma hapaaaaaView attachment 1319312

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv unajua nawashangaa Sana na masifa Yao ya kijinga.


Halafu wilaya ya muleba inashule nyingi kuzidi baadhi ya wilaya tz[emoji1787][emoji1787].

Yaan muleba ina shule zaidi ya 200

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa nafasi ya 3 kitaifa bado mtu anasifia! Naona watu wa ziwa magharibi wametupilia mbali majivuno mmebaki nyinyi machalii!
Yaan wanakuja kwenye sifa ambazo tuliacha miongo iliyopita huko??

Wana wachaga wawili top ten lakin sifa sasa.


Wahaya kuna nane top ten lakin wametulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni Shule za private za bweni zenye wanafunzi mchanganyiko kutoka mikoa mbalimbali.

Ndio maana unaona kuna shule kutoka Mbeya na Mwanza zimeshika nafasi za juu lakini huwaoni hapa watu wa mikoa hiyo wajimwambafai.

Wachagga sijui mmepatwa na nini, aisee.

Mbona huweki majina ya Top Best Perfomers tuone kama kuna mangi.

Amma matokeo ya shule za kata, maana hayo ndio tafsiri halisi ya jamii husika
No mbili kitaifa Denis kinyange ni mchaga uliza tena ,alikuwa anasoma mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona uvivu kukujibu, kagera imewaacha kigoma na lindi labda, ni mkoa uliojaa umaskin na magonjwa
Ninaanza kuwa na wasiwasi tunajadili na walevi![emoji38]

Unaamua kujiandikia orodha yako mwenyewe!! Leta makabrasha hapaaaaa! Nawaambieni Kagera imewaacha mbali mkoa mmoja mmoja by very far! Na hamtaifikia leo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo matokeo yalitolewa misenyi labda, huu mwaka mikoa iliyotesa ni mitatu tu


Arusha,Iringa na Kilimanjaro.

Nyie endeleen na ujasiriamali wa senene na miili
Naona pumzi inaanza kuwaishia. Tuliwaacha tu kwanza waruke ruke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Acha nimsaidie kumuwekea vizuri! Ni kwamba darasa la nne Kagera ni ya PILI kitaifa! Msituibie na hizo screenshot za kujitengenezea wenyewe! Soma hapaaaaaView attachment 1319312

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wahaya sio level za kawaida!! Huko vijijijini kuna shule nyingi zinafanya sherehe kwa kufaulisha vizuri sana. Hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hapa misenyi walimu wote wa shule zote zilizofaulisha wanafunzi wote darasa la Saba wamezawadia mitungi ya gesi.


Yaan wanafunzi wote wa darasa la Saba wanaenda form one tena shule ya serikali
FB_IMG_15787149222121014.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo matokeo yalitolewa misenyi labda, huu mwaka mikoa iliyotesa ni mitatu tu


Arusha,Iringa na Kilimanjaro.

Nyie endeleen na ujasiriamali wa senene na miili

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona uvivu kukujibu, kagera imewaacha kigoma na lindi labda, ni mkoa uliojaa umaskin na magonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Usipokubali hujinyonge polisi wa tabora wakukamate[emoji23][emoji23]


Kwanza watz wote wanaofatilia hapa wanakushangaa.hiv huoni aibu kukuta top ten kuna wahaya nane!!!

Na bado form six mwaka Jana alikuwa muhaya
Na bado shule ya Kwanza kitaifa ni ya wahaya watupu.


Kwanza mkoa wa kagera haupo mbali ni wa Saba kitaifa.


Kuhusu miili mbona iringa sijui njombe mnaongoza Kwa ukimwi bongo?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matokeo ya darasa la 7 hayajatolewa awamu hii, ujue katerero mmejaa uongo sana

Ndo mana mkoa wenu umeingia top 3 kwenye elimu ya watu wazima, huku matokeo mengine mkigaragazwa mbaaaali
Kama hapa misenyi walimu wote wa shule zote zilizofaulisha wanafunzi wote darasa la Saba wamezawadia mitungi ya gesi.


Yaan wanafunzi wote wa darasa la Saba wanaenda form one tena shule ya serikaliView attachment 1319367

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wanaosoma hizo shule za Kilimanjaro Wala si wakazi wa huko
Kuna shule nzuri Hali ya hewa nzuri wazazi wengi hupeleka watoto kule.

Nyingi waweza kuta darasani watoto wa kichaga wako watano nao sio wakazi wa huko wazazi wao Wako dar es salaam au mwanza

Hukosi majibu ya kuhate aisee
 
Hujinyonge ndo nini we katerero, nafas ya saba huko inawatosha nyie katerero ila namba 1 hadi 3 tupo miamba ya elimu tuliotukuka
Usipokubali hujinyonge polisi wa tabora wakukamate[emoji23][emoji23]


Kwanza watz wote wanaofatilia hapa wanakushangaa.hiv huoni aibu kukuta top ten kuna wahaya nane!!!

Na bado form six mwaka Jana alikuwa muhaya
Na bado shule ya Kwanza kitaifa ni ya wahaya watupu.


Kwanza mkoa wa kagera haupo mbali ni wa Saba kitaifa.


Kuhusu miili mbona iringa sijui njombe mnaongoza Kwa ukimwi bongo?


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie kipaji chenu ni kucheza na chatu,uchawi,kuvaa reflectors na uvuvi. Miamba ya elimu ni Arusha, Iringa na Kilimanjaro
Tukizungumzia kanda, kanda ya ziwa ni kitu ingine, nenda kwny kada ya afya na uhandisi utaelewa nnachosema. The only thing ni kwamba sio makabila yote yanatambo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom