Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Maskini akipata MATAKO HULIA MBWATA[emoji23]

Yaani wachaga wanaona hizo ndo perfomance za juu zaidi!! Wahaya wamechafua kwenye top 10 zote! Hata kwenye top 10 ya shule zote kuna shule za Kagera!! Kama mtihani wa drs la 4 ambao 99% ni wenyeji wa eneo husika (Kagera) katika top 10 kuna shule 3 zote za Kagera. Kilimanjaro hawana hata moja matahira wa Uru hawaView attachment 1319278

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tazama hii shule iliyojaa wahaya watupu ilivyopiga A mpaka wenye wivu wanataman kulia
tapatalk_1578653636992.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani sikia huyu mtu.haamini anachoona[emoji23][emoji23]

Tena anaitwa
Nyangoma wamara kabisa .


Nyangoma
Nyamwiza
Nyakato eti sio wahaya[emoji23][emoji23]


Hapa naona mjuni, mutasingwa nk

Yaan jumla wahaya ni nane!!!View attachment 1319040

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilibidi nicheke tu. Ukabila ukijaa kichwani hata akili huwa zinakaa pembeni, kila siku anasema anaijua kagera lakini hajui pacha wa kihaya huitwa Nyangoma. Hopeless
 
Naona pumzi inaanza kuwaishia. Tuliwaacha tu kwanza waruke ruke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Acha nimsaidie kumuwekea vizuri! Ni kwamba darasa la nne Kagera ni ya PILI kitaifa! Msituibie na hizo screenshot za kujitengenezea wenyewe! Soma hapaaaaa
We akili huna unaleta Facebook?

Mkuu haya ndo matokeo halisi.

Nationa kagera ya pili darasa la nne.

Halafu shule za kagera na Kilimanjaro ni nyingi kuzidi shule za watu wa Dar walio milion 6!!!.


Pia angalia halmashauri kama wilaya za wahaya hazijajaaView attachment 1319063

Sent using Jamii Forums mobile app
20200110_134420.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hamsemi shule iliyotoa mwanafunzi bora wa kiume ni ya Mwanza? Au mbona hamsemi mwanafunzi bora wa kiume ni wa Mwanza?! Muwe mnasema na hayo basi make sie wanamwanza hatuna muda wa kujisifiasifia!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii ni battle of supremacy. Wengine hawaonekani ni chagga vs Haya [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila haya mambo sijui yataisha lini
 
Sasa nafasi ya 3 kitaifa bado mtu anasifia! Naona watu wa ziwa magharibi wametupilia mbali majivuno mmebaki nyinyi machalii!
 
Sio mara ya kwanza angalia matokeo ya miaka 3 nyuma kwenye kila ngazi lazima top ten utakuta Iringa au Njombe
Pamoja na mazingira magumu ya wilaya za mikoa ya Njombe na Iringa lakini tunajitahidi,kwa asili tuna akili sana muulize mjerumani ila mazingira yanatuangusha sana
Wewe jirani unawapenda wana iringa hadi ushakuwa muhehe. By the way kusini bado sana namaanisha kwa wazawa
 
Weka vitu hapa mkuu! Acha kubweka bwela tu! Wahaya wanadondosha official report document ya NECTA, nyienmnaleta maneno na screenshot za facebook! Sasa tuwasaidie vipi?
Hayo matokeo mloongoza katerero na dar es salaam ni ya QT nini?

Wababe wa mwaka huu ni Arusha,Iringa na kilimanjaro

Sent using Jamii Forums mobile app
BTW mkoa kuwa wa kwanza au wa tatu kitaifa na hauna best performers ni ishara kuwa wenyeji wake sio bright! Maana sio lazima wenyeji wa mkoa husika wasome katika shule za mkoa wao.

Kama wahaya wanaweza kuonekana hata kwenye shule za mikoa mingine wakiwa kwenye top 10, wakati bado shule zao katika mkoa wao zipo kwenye top 10 pia, na mkoa upo kwenye top 10, na halmashauri zao ziko kwenye top 10 na sio kwa mwaka mmoja tu ni almost kila mwaka, jifunze kuogopa watu wa namna hii! Hawa watu wana IQ kubwa japo hatuwapendi kwa kuwa wanapenda kuwa recognized (waswahili tunaona ni kupenda sifa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wanaosoma hizo shule za Kilimanjaro Wala si wakazi wa huko
Kuna shule nzuri Hali ya hewa nzuri wazazi wengi hupeleka watoto kule.

Nyingi waweza kuta darasani watoto wa kichaga wako watano nao sio wakazi wa huko wazazi wao Wako dar es salaam au mwanza
Hata kama wasingekuwa wakazi wa huko bado kuna cha kujifunza kutoka kwenye hizo shule. Kwanini wanafunzi wa mikoa mingine wakisomea mikoani kwao hawafanyi vizuri lakini wakienda Kilimanjaro wanafanya vizuri?
 
Unatakiwa ujue elimu ya msingi ndio inakupa picha ya wenyeji wa eneo husika wakoje katika IQ kwa kuwa wanafunzi wote wanakuwa ni wa eneo husika. Sio Kilimanjaro inayojivunia matokeo ya secondary tu ambayo ni ya wanafunzi kutoka mikoa mingine wanaoletwa kule kwa ajili ya mazingira mazuri ya kusomea.
Darasa la nne ndio nini? Uliishia la nne et

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninaanza kuwa na wasiwasi tunajadili na walevi![emoji38]

Unaamua kujiandikia orodha yako mwenyewe!! Leta makabrasha hapaaaaa! Nawaambieni Kagera imewaacha mbali mkoa mmoja mmoja by very far! Na hamtaifikia leo
Wababe wa elimu Tanzania, kuanzia vidudu hadi chuo kikuu
1. Kilimanjaro
2. Mbeya
3. Iringa
4.Arusha
5. Pwani

Nyie wengine endeleen kucheza unyago,kukeketana na ndoa za utotoni.

Iringa ndo mkoa pekee duniani mtu anaweza kusoma kuanzia vidudu had PhD

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa idadi ya shule naona Kagera na Kilimanjaro tunafunika hata Dar!! Hatari mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hata ukiingalia idadi ya shule Tu hapa .

Kagera na Kilimanjaro wanazidi Dar Kwa idadi ya shule kabisa du.


Najua unaogopa kuitaja kagera .

Jengen vyuo tutakuja kuvijaza.

Njoo UDSM, Ardhi,Muhas, SUA, mzumbe nk wahaya mpaka unaogopaView attachment 1319114

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama wasingekuwa wakazi wa huko bado kuna cha kujifunza kutoka kwenye hizo shule. Kwanini wanafunzi wa mikoa mingine wakisomea mikoani kwao hawafanyi vizuri lakini wakienda Kilimanjaro wanafanya vizuri?
Sio Kilimanjaro pekee watoto wakipelekwa wanatanya vizuri miko.a iko.mingi tu.kuna mbeya,Kuna kagera,kina Mara,Kuna pwani NK

Shule nzuri Ziko marneo ya mikoa mingi
 
Sio Kilimanjaro pekee watoto wakipelekwa wanatanya vizuri miko.a iko.mingi tu.kuna mbeya,Kuna kagera,kina Mara,Kuna pwani NK

Shule nzuri Ziko marneo ya mikoa mingi
Hujaelewa! Kwanini shule za Kilimanjaro kiujumla zifanye vizuri zaidi kulinganisha na hizo nyingine?
 
Back
Top Bottom