Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Kilimanjaro yaendelea kuwa kinara wa elimu

Unajivunia hao wawili tu wachaga???[emoji3][emoji3][emoji3] kweli nyie mambumbu. Sasa kwa taarifa yako top 10 zote kianzia za darasa la nne hadi form IV zimejaa wahaya! Soma hii hapa chini sasa mangi limbukeni wa elimu weweAngalia watoto wa kihaya wanavyokimbiza kwenye top 10 zenu hata wakiwa nje ya Kagera. Kwenye elimu mchaga bado sana kwa mhaya. Tafuteni wa kujilinganisha nao na hizo shule zenu za kuokoteza wanafunzi[emoji3]View attachment 1319178View attachment 1319180View attachment 1319181

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakudanganya tupo wawili Top ten?

Angalia
Joan Rite

Denis Kinyange

Henry Kimbori
Martha Ngowi
Richardson Kwareh.


Una tatizo mahali.

Hao wawili ni distinguished from others ndio maana nawataja sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaweza basi?? Sifa zimewazidi hawa siku hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kagera kimkoa ya saba huko sijui ya kumi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

While Kilimanjaro ya kwanza.

Tumetoa MaT.O wawili kwa mpigo wakifuatana.

Na hao wengine kina Ngowi, Kimbori na Kwareh.

Unaanzaje kufananisha vanilla na ukwaju? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hamsemi shule iliyotoa mwanafunzi bora wa kiume ni ya Mwanza? Au mbona hamsemi mwanafunzi bora wa kiume ni wa Mwanza?! Muwe mnasema na hayo basi make sie wanamwanza hatuna muda wa kujisifiasifia!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanafunzi gani huyo wakiume ni wa mwanza? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagera kimkoa ya saba huko sijui ya kumi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

While Kilimanjaro ya kwanza.

Tumetoa MaT.O wawili kwa mpigo wakifuatana.

Na hao wengine kina Ngowi, Kimbori na Kwareh.

Unaanzaje kufananisha vanilla na ukwaju? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachaga wanashangaza Sana aisee.

Yaan Wana wivu sio wa nchii hii.

Wanaangaika Sana kuwaondoa wahaya kwenye elimu lakin wanashindwa?

Yaan hawataki kuamini kuwa asilimia kubwa ya wahaya wanaakili natural .


Watajenga mishule hata vyuo zaidi ya 200 huko Kilimanjaro lakin bado elimu hawataifikia bukoba kamwe.maana wahaya natural Wana akili ndo maana kuna shule ya kata nimeiona top ten huko sijui form two inaitwa Nyaishozi.


Waalimu wamepewa zawadi ya mitungi ya gesi baada ya kufaulisha wanafunzi wote darasa la Saba tena shule za serikali.yaan darasa zima linaenda form one

View attachment 1319238View attachment 1319239

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafunzi bora wawili kitaifa wanatoka wapi?

Ni kabila gani?

Mkoa wa kwanza ni upi vile?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanafunzi bora wawili kitaifa wanatoka wapi?

Ni kabila gani?

Mkoa wa kwanza ni upi vile?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie asome hapa
FB_IMG_15787402126774337.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maskini akipata MATAKO HULIA MBWATA[emoji23]

Yaani wachaga wanaona hizo ndo perfomance za juu zaidi!! Wahaya wamechafua kwenye top 10 zote! Hata kwenye top 10 ya shule zote kuna shule za Kagera!! Kama mtihani wa drs la 4 ambao 99% ni wenyeji wa eneo husika (Kagera) katika top 10 kuna shule 3 zote za Kagera. Kilimanjaro hawana hata moja matahira wa Uru hawaView attachment 1319278

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinara wa kwanza na Wapili kitaifa ni kabila gani? [emoji23][emoji23][emoji23]

Ni Wachagga.

Mkoa wa kwanza kitaifa ni upi?

KILIMANJARO.

Now you know why.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu kuwa mtu mzima basi. Hili sio jukwaa la mipasho. Acha kuishia kutukana na kubeza watu personally. Weka data hapa.
Nyie kipaji chenu ni kucheza na chatu,uchawi,kuvaa reflectors na uvuvi. Miamba ya elimu ni Arusha, Iringa na Kilimanjaro

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna cha kuweka.mnaishia kuwatukana wachangiaji. Vilaza watupu. Mfyuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhimbili, SUA, Mzumbe, Ardhi, Udsm Wachagga wamejaa sana.

Tukiweka ushabiki pembeni, Wahaya kwa Udsm hasa professor na other intellectual mpo wengi kuliko Wachagga, japo Wachagga ndio wanafuata baada ya Wachagga.

Muhimbili hakuna kabila lime dominate kama Wachagga, ikifuatiwa na wahaya then wanyakyusa.

SUA Wachagga wanaongoza hasa administration kadhalika na mzumbe.

Huo ndio ukweli mchungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kbs ardhi,muhas,sua wachaga wengi mno kwanzia wahadhiri,administration had wanafnz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo KAIZIREGE ilibadilishwa jina?? Na hii ni shule gani?? Haijawahi kufungiwa na haiwezi kufungiwa shule ya kiwango cha SGR kama Kaizirege. Waache kufungia shule zenu wezi wa mitihani wachaga wafungie shule za wasomi wahaya?? Shame

Ni wezi wa mitihani mkuu.

Serikali iligundua.

Mmiliki akabadili jina la shule.

Soon utasikia imefungiwa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma hapo chini ilivokimbiza. Na KAIZIREGE imekuwa ya 23 kitaifa. Upo mkuu??[emoji38][emoji38]
Screenshot_20200111-092308_Samsung%20Internet.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20200111-092308_Samsung%20Internet.jpeg
    Screenshot_20200111-092308_Samsung%20Internet.jpeg
    57.3 KB · Views: 8
  • Screenshot_20200111-092308_Samsung%20Internet.jpeg
    Screenshot_20200111-092308_Samsung%20Internet.jpeg
    57.3 KB · Views: 6
Unaweza kutuletea hata kipande cha gazeti lilichozungumzia Kaizirege kufungwa?? Mnaambiana huo upuuzi mkinywa mbege mnauleta JF. Kaizirege haijawahi kufungwa na haina sababu ya kufungwa.
Kaizirege ilifungiwa kwa muda kwa sababu ya udanganyifu.

Mmiliki wa hizo shule ni mmoja.

Mchezo wenu tunaujua.

All in All, Taifa limetutolea Binti Mmoja wa kichagga kati ya watahiniwa Maelfu, kuwa nambari one.

Naam Joan Rite- MCHAGGA

Nafasi ya pili kamuachia kaka yake, Denis Stephen Kinyange- MCHAGGA.

Nyingine hizo leftovers, tumeacha kwa kabila zingine, Unajisikiaje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

If that is not enough, KILIMANJARO ni mkoa nambari moja kitaifa kwa ufaulu.

What else do you need to hear from Blessed region, KILIMANJARO? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kama una evidence za kuwahi kufungiwa Kaizirege zilete. Mzikome shule zetu za level za kimataifa. Muache wivu wa kike kike wajinga wakubwa nyie. Inaboa mijitu mizima kama wewe mnapoanza kuwa na uongo kama mimama. Matter core yenu. Mfyuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Wachagga huwaoni hapo?

1. Joan Rite. St. Francis

2. Denis Stephen Kinyange.

3. Henry Kimbori- Centennial
Christian seminary

4. Martha Emmanuel Ngowi

5. Richardson Kwareh- Centennial Christian center

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usicheze na Wachagga weyee!

Sent using Jamii Forums mobile app
@instanbul umeona orodha? Usicheze n'a wachaga,mhaya ni mwanafunz wa mchaga daima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaizirege ilifungiwa kwa muda kwa sababu ya udanganyifu.

Mmiliki wa hizo shule ni mmoja.

Mchezo wenu tunaujua.

All in All, Taifa limetutolea Binti Mmoja wa kichagga kati ya watahiniwa Maelfu, kuwa nambari one.

Naam Joan Rite- MCHAGGA

Nafasi ya pili kamuachia kaka yake, Denis Stephen Kinyange- MCHAGGA.

Nyingine hizo leftovers, tumeacha kwa kabila zingine, Unajisikiaje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

If that is not enough, KILIMANJARO ni mkoa nambari moja kitaifa kwa ufaulu.

What else do you need to hear from Blessed region, KILIMANJARO? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie aseme ameen aache ubishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie kipaji chenu ni kucheza na chatu,uchawi,kuvaa reflectors na uvuvi. Miamba ya elimu ni Arusha, Iringa na Kilimanjaro

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]

Ndugu zangu wasukuma mkae kimya kabisa na nyie wahehe. Mnapwaya sana kwenye hizi ligi.

Kabila ambalo lina uhaueni na kidogo kubishana nao ni hawa wakamata senene na wazee wa Katerero.

Wahaya kulikoni siku hizi mnaolewa sana na Wachagga? Mnataka kuiba akili na maendeleo? Tushawashitukia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom