peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,826
- 21,430
A
Aliyenyoa nywele kiduku
Aliyenyoa nywele kiduku
Nendeni mkatoe ushahidi mnalialia nini na mtuhumiwa yupo ?Mbona hamjitokezi kutoa ushahidi nini tatizo nyie wana hai?
Duu sura inaonyesha ni jambazi tangu mtotoA
Aliyenyoa nywele kiduku
Bahati sana haya mambo angeyafanya kule tarime
Au maeneneo ya bariadi, Sumbawanga au kigoma
Angekuwa marehemu hata kabula ya Magufuli
Hao wazee ndo walikuwa hawaogopi watu wasiojulikanaHapo hai mlikuwa mnaishi kwa kukimbizwa na mtu mmoja tena mshamba. Hadi kwenye maji?
Hakuna wazee hapo Hai?
Hapakuwa na uongozi wa CCM?
Viongozi wa Dini na kamati za amani hawapo?
Hakika Mkuu wa Mkoa alikuwa wakuja
Hakuna hata wachawi na wasoma albadili????Hapo hai mlikuwa mnaishi kwa kukimbizwa na mtu mmoja tena mshamba. Hadi kwenye maji?
Hakuna wazee hapo Hai?
Hapakuwa na uongozi wa CCM?
Viongozi wa Dini na kamati za amani hawapo?
Hakika Mkuu wa Mkoa alikuwa wakuja
Wameambiwa kuwa wote wenye ushahidi kuhusu maovu ya Sabaya waende TAKUKURU au polisi au hawana ushahidi?Hapo hai mlikuwa mnaishi kwa kukimbizwa na mtu mmoja tena mshamba. Hadi kwenye maji?
Hakuna wazee hapo Hai?
Hapakuwa na uongozi wa CCM?
Viongozi wa Dini na kamati za amani hawapo?
Hakika Mkuu wa Mkoa alikuwa wakuja
Unaponyang’anya watu maji lengo ni kuwa wafe. Mwendawazimu alikua na chuki sana na watu wa Kilimanjaro , Alitamani sana kuwangamiza.Malalamiko
Bodi hizo za watumia maji zinahudumia zaidi ya vijiji 156 vya wilaya ya Siha, Hai na Moshi vyenye zaidi ya watu 400,000 ambapo Mwenyekiti wa WSF, Julius Mollel alisema mali hizo ziliporwa na Sabaya na mpaka sasa hawajui zilipo.
Mbona hamjitokezi kutoa ushahidi nini tatizo nyie wana hai?