Kilimanjaro: Vyama vya watumia maji vyasema Sabaya aliwapora mabilioni

Tamaa mbaya sana...

Hapa haki itendeke...na kama aliuwa basi hakuna budi nae auawe.....n.k n.k n.k
 
Hapo hai mlikuwa mnaishi kwa kukimbizwa na mtu mmoja tena mshamba. Hadi kwenye maji?

Hakuna wazee hapo Hai?

Hapakuwa na uongozi wa CCM?

Viongozi wa Dini na kamati za amani hawapo?

Hakika Mkuu wa Mkoa alikuwa wakuja
Hao wazee ndo walikuwa hawaogopi watu wasiojulikana
 
Hapo hai mlikuwa mnaishi kwa kukimbizwa na mtu mmoja tena mshamba. Hadi kwenye maji?

Hakuna wazee hapo Hai?

Hapakuwa na uongozi wa CCM?

Viongozi wa Dini na kamati za amani hawapo?

Hakika Mkuu wa Mkoa alikuwa wakuja
Hakuna hata wachawi na wasoma albadili????
 
Hapo hai mlikuwa mnaishi kwa kukimbizwa na mtu mmoja tena mshamba. Hadi kwenye maji?

Hakuna wazee hapo Hai?

Hapakuwa na uongozi wa CCM?

Viongozi wa Dini na kamati za amani hawapo?

Hakika Mkuu wa Mkoa alikuwa wakuja
Wameambiwa kuwa wote wenye ushahidi kuhusu maovu ya Sabaya waende TAKUKURU au polisi au hawana ushahidi?
 
Malalamiko
Bodi hizo za watumia maji zinahudumia zaidi ya vijiji 156 vya wilaya ya Siha, Hai na Moshi vyenye zaidi ya watu 400,000 ambapo Mwenyekiti wa WSF, Julius Mollel alisema mali hizo ziliporwa na Sabaya na mpaka sasa hawajui zilipo.
Unaponyang’anya watu maji lengo ni kuwa wafe. Mwendawazimu alikua na chuki sana na watu wa Kilimanjaro , Alitamani sana kuwangamiza.
Na Sabaya alikubali na kutumika kuwaua ndugu zake wa kaskazini.

Inanikumbusha jinsi Wakoroni walivyotumia watu weusi kutufikia wafrika na kututesa.
 
Huyo mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ni kama alikuwa kama pazia tu.
 
Back
Top Bottom