Kilimanjaro Music Awards 2012

Kilimanjaro Music Awards 2012

hivi inaonekana wacheza shoo hurusiwi kuwachukua toafuti na tht nini..
 
Basi kweli ni kigauni kimemkaa, maana nlikutana naye saloon moja sikunotisi ana kiuno nyigu lol

ngoja tufurahie God's creation.

Nachuroo kabisaa kigauni kimemkaa mwake....
Unyayo mwekundu as in red bottom za viatu??? ...lol
 
kitenge upate fundi mzuri apatie umbo lako, unatokaje?

Hata ukishona Back to Africa inapendeza tu.

Hehehee ntakupeleka na wewe ukashone Yummy Yummy au wee chibonge? Wa tenge la pande sita....lol!
 
Wana JF ni nini hii mbona aibu sana?

Kha! Haya mambo yao ya tuzo yanaboa sana, haujachangamka. Hivi hamjifunzi za VMA, na zingine za Marekani! Naenda kulala kha!

DOOKY, unalinganisha Marekani na Bongo!
 
Sijapenda Dayna alivyovaa, au am too old kwa fashen hizi?
 
Basi kweli ni kigauni kimemkaa, maana nlikutana naye saloon moja sikunotisi ana kiuno nyigu lol

ngoja tufurahie God's creation.

Haya ndio mambo nayapenda kuyasikia.....penye kustahili sifa,sifia
 
Back
Top Bottom