Kilimanjaro Music Awards 2012

Kilimanjaro Music Awards 2012

Hahah...hujui vitu vya Congo vilivyo durable halafu ni vya reasonable price...naona shemeji Gadner anajidai anampendaaa Jide wakati jide kila siku anampiga madongo kwenye nyimbo zake!!

gadna kaona mbali,jide mjasiriamal
 
Kuna misemo imepotea njia, Niongezee mimi wapunguzie wasionachokabisa, Barnaba
 
diamond na kundi lake wamependeza na akina barnaba na vikoti vyao.


Ila baada ya kumuona ali kiba na G habash, vile vikoti oyee nimeviona kama vya sh. 721.
 
Uyu dogo wa sasambu,ucshangae mwakan ana tuzo
 
Ok now we are talking,the ladies are in doing what they know best.
 
Back
Top Bottom