Kilimanjaro Music Awards 2012

Kilimanjaro Music Awards 2012

diamond na kundi lake wamependeza na akina barnaba na vikoti vyao.


Ila baada ya kumuona ali kiba na G habash, vile vikoti oyee nimeviona kama vya sh. 721.

teh teh teh teh
sh 721
 
MAANDISHI YANAPANDA JUU SASA,duh hakuna ata pat2 ya ii bongolala muvi
 
Kuna mabinti wa kizanzibar wanasasambua kwa kuucheza mduara,wale wenye mitamaa udenda sasa hivi unawatoka baada ya kuwaona mabinti wa kizanzibar wakiduarika.
 
Gu9t guys,yan as if tulikuwa sehemu moja 2nachek kil awads!waow that was soo sweet!kampan nzur jf! G9t.tubu ulale,ucje pata usingiz concussion bure
 
very very awkward! Mwakan ana tuzo

Ha..ha..ha this is Tz bwana.Mtu kama Fid Q kila siku anatajwa tu kwenye categories wakati yeye ndiye true definition ya HipHop/Rap in Tz.
 
Iv tuzo moja shngap au ndo tuzo tu kama pambo!
 
watu woote wanasema G9t, wewe unataka tupige story, hulalagi wewe?


Kimtindo naenda chit chat

Unauliza makofi polisi!
Rejao tena..mzee wa Vogue, VW na ma bima ya kutosha!!
 
Back
Top Bottom