Kilichotokea baada ya kuwaweka kuku rangi

View attachment 519149
Nilipoeleza changamoto ninayoipata kuhusu ndege ambaye wadau mmeniambia anaitwa kipanga wengine mlinishauri kuwapaka Rangi kuku, Nimelifanya hilo zoezi na huu ni mrejesho 'feedback'

1. Juzi ilikuwa ni miongoni mwa siku ambazo kama mwehu
nimejikuta nikicheka peke yangu kwani baada ya kuwapaka
ile rangi wa kwanza kuwakimbia alikuwa mama yao, pia kuku
wengine walilazimika kukimbia banda baada ya kuwaona vifaranga
wale wa Rangi rangi kwani nimewapaka rangi za njano, kijani, nyekundu
na bluu.

2. Nimegundua kunguru anawaogopa sana wale kuku, nakusudia
hawa kunguru wenye baka jeupe shingoni.

3. Bado sijapata uthibitisho kama kipanga hatawakamata ingawa kwa
mwewe ambaye leo nimemuona akizungukazunguka hajashuka kuwakamata.

4.Zoezi limesababisha kifo cha kifaranga mmoja, kwani yupo mtetea aliamua
kupambana na vifaranga kwa nguvu kubwa akijua ni maadui, kwa sasa amewazoea
na nmejifunza mara nyingine haitatokea

Ahsanteni wadau kwa ushauri.

Asante vp umepeka rangi gani
UKipaka wakiwa wadogo unapaka tena wakikua.? Hiyo rangi inakaa kwenye manyoya au ngozi?
 
View attachment 519149
Nilipoeleza changamoto ninayoipata kuhusu ndege ambaye wadau mmeniambia anaitwa kipanga wengine mlinishauri kuwapaka Rangi kuku, Nimelifanya hilo zoezi na huu ni mrejesho 'feedback'

1. Juzi ilikuwa ni miongoni mwa siku ambazo kama mwehu
nimejikuta nikicheka peke yangu kwani baada ya kuwapaka
ile rangi wa kwanza kuwakimbia alikuwa mama yao, pia kuku
wengine walilazimika kukimbia banda baada ya kuwaona vifaranga
wale wa Rangi rangi kwani nimewapaka rangi za njano, kijani, nyekundu
na bluu.

2. Nimegundua kunguru anawaogopa sana wale kuku, nakusudia
hawa kunguru wenye baka jeupe shingoni.

3. Bado sijapata uthibitisho kama kipanga hatawakamata ingawa kwa
mwewe ambaye leo nimemuona akizungukazunguka hajashuka kuwakamata.

4.Zoezi limesababisha kifo cha kifaranga mmoja, kwani yupo mtetea aliamua
kupambana na vifaranga kwa nguvu kubwa akijua ni maadui, kwa sasa amewazoea
na nmejifunza mara nyingine haitatokea

Ahsanteni wadau kwa ushauri.
Nimecheka sana hasa mama yao kuwa wa kwanza kukimbia watoto
 
Hawa kunguru wa huku mjini(kunguru weusi tii) hilo zoezi haliwahusu, maana walishafaulu siku nyingi. Kunguru weusi ni maprofesa katika kudukua na kuiba taarifa za vifaranga hata uweke "code" ya aina gani!

Nilishafanya hivyo miaka ya 2000 mwanzoni mwanzoni huko kwa vifaranga vya kuku na bata ila, walikaa darasani, wakasoma mchezo mzima ndani ya siku moja, mchana wake wakanyakua kama kawaida tena kwa mbwembwe kali. Nlijichekea mimi mwenyewe. Nkabadili njia na kuwafungia ndani ya uzio hapo ndo nikawazidi mbinu.

Achana na hao wenye mabaka/baka jeupe, kunguru mweusi ni noma!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom