GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,773
- Thread starter
- #61
Sawa kabisa mkuu, wengi imekolea vizuri kabisaUpo sqhihi kabisa mkuu, ukiwapaka hiyo rangi hata mwewe habebi kifaranga hata mmoja. Unapowapaka hakikisha rangi imekolea sana kisha paka mwili wote na uwapake wakati wa jua kali ili waweze kukauka kwa haraka.
Waweza changanya rangi kwa mwana ya wengine wapake rangi ya blue, wengine njano, wengine nyekundu n.k ila koleza sana rangi. Kwa uzoefu wangu rangi hiyo hudumu mwilini mwa kifaranga kwa miezi isiyopungua mitatu. Big up