Kilichotokea baada ya kuwaweka kuku rangi

Kilichotokea baada ya kuwaweka kuku rangi

hongera kaka ni ugunduzi mkubwa ikibidi uingie kwenye guinnes world records
Umezaliwa lini mkuu? It's seem kila jambo kwako ni jipya na hata mtu anaposema ameufanyia kazi ushauri humu na kuleta mrejesho wewe unamuita mgunduzi duh! Hauna tofauti na Masalakulangwa akili za kufundishwa
 
Umezaliwa lini mkuu? It's seem kila jambo kwako ni jipya na hata mtu anaposema ameufanyia kazi ushauri humu na kuleta mrejesho wewe unamuita mgunduzi duh! Hauna tofauti na Masalakulangwa akili za kufundishwa
it seems!! not reality
 
Suala langu hao mwewe wanaona rangi zote?maana viumbe tofauti tunaona rangi tofauti kwenye taswira moja!
 
Hiyo ni proven theory. ila ulitakiwa kuwapaka mara tu walipo anguliwa. na kurudia kila manyoya ya ukubwa yanapoongezeka.
 
Hii technologia ni ya kweli kabisa na rangi inayotumika ni ya mikeka, mwewe hagusi ila paka yeye haangalii cha rangi(anakulaga) na kipanga bado sijajua
 
View attachment 519149
Nilipoeleza changamoto ninayoipata kuhusu ndege ambaye wadau mmeniambia anaitwa kipanga wengine mlinishauri kuwapaka Rangi kuku, Nimelifanya hilo zoezi na huu ni mrejesho 'feedback'

1. Juzi ilikuwa ni miongoni mwa siku ambazo kama mwehu
nimejikuta nikicheka peke yangu kwani baada ya kuwapaka
ile rangi wa kwanza kuwakimbia alikuwa mama yao, pia kuku
wengine walilazimika kukimbia banda baada ya kuwaona vifaranga
wale wa Rangi rangi kwani nimewapaka rangi za njano, kijani, nyekundu
na bluu.

2. Nimegundua kunguru anawaogopa sana wale kuku, nakusudia
hawa kunguru wenye baka jeupe shingoni.

3. Bado sijapata uthibitisho kama kipanga hatawakamata ingawa kwa
mwewe ambaye leo nimemuona akizungukazunguka hajashuka kuwakamata.

4.Zoezi limesababisha kifo cha kifaranga mmoja, kwani yupo mtetea aliamua
kupambana na vifaranga kwa nguvu kubwa akijua ni maadui, kwa sasa amewazoea
na nmejifunza mara nyingine haitatokea

Ahsanteni wadau kwa ushauri.
Aisee mbona unawatania wazalendo,,haha,haa [emoji28]
 
Kongole kwa uthubutu, chukua Tindikali ivimwagie pia uone maajabu yake!
 
Back
Top Bottom