Una bahati hiyo avatar yako,lakini nina uhakika wengine hawatakuangalia usoni.Ndugu CDM,
Nawasifu sana kwa mkutano huu. Lakini napenda kuwaomba kwanza kufanya tathmini. Idadi hiyo niliona hapo ni ndogo sana. Hatuwezi kuanzisha move kama hii. Haitatusaidia maana vichaa polisi watakapofika watauwa watanzania bure. Tafadhali naombeni fuateni tu sheria hata kama ni mbovu tumieni tu hizo sheria mbovu naamini mtawashinda. Ukiangalia Msiri, libya, na Tunisia idadi ya watu ilikuwa kubwa na watu walijitolea kweli kweli. Tanzania bado na watu wengi hawaungi mkono mbinu hii ambao watu wengi huenda wakapoteza maisha yao. Ukweli ni kwamba nina wasiwasi hata viongozi wetu wata wekwa ndani na hapo ndo itakuwa mwisho wa pilika pilika hizo.
Nawa sihi sana acheni kushabikia hii hali maana tanzania bado hatujafikia hali ya kukata tamaa kiasi cha kushinda tukiandamana.
kwa kutumia mchina wangu siwezi kupiga ila watu bado ni wengi wanaselebuka na nyimbo za wana harakati...
"ukitaka ule lazima uliwe" haya ni maneno ya Jk wakati anafungua bunge mwaka 2005. Nawasiwasi anaunga mkono ushoga maana hadi saizi hajatoa tamko.
Tupo pamoja Wana Arusha,wao CCM na watoto wao wana pesa na polisi,sisi Chadema tuna Mungu.Freedom is Coming! Viva chadema.
muda umefika ccm kutoka madarakani sio Lema tu kutoka Jela. Hilo tu halitoshi
Hizo picha zinasaidia vipi kutatua shida tulizo nazo?.
Shimbonyi shafoo meku!! Naona vijana wa Nape lazima kwenye ID yenu muongeze 25...Mwita25,Mchaga25 mavi matupu.....
Jinga la CCM
mkuu acha kuweweseka, kwani mtu kakulazimisha kuangalia hizi picha au unatamani na nyinyi magamba siku moja mjaze kama hiviHizo picha zinasaidia vipi kutatua shida tulizo nazo?.