Kilichonishangaza Rombo

Kilichonishangaza Rombo

subiri kiduchu, nimpigie Basili Mramba then nitakupa mlishonyuma (feedback)
 
KASHESHE NI UNAPOKUWA lOlIONDO KISHA UNAPATA SMS WEllCOME TO DUBAI
 
Vp mkuu tupe ushuhuda wa ukweli kuhusu wanawake wa kichaga huko kukodi vidume vya kikenya kwa ajili ya tendo la ndoa na mbegu.Maana inasemekana wanaume wa kichaga jongoo kajikunyata kutokana unywaji komoni na mbege uliopitiliza.
Wakodi wanaume kutoka Kenya
 
Basi naja nakuletea zawadi, niandalie wali wa basmat.

Ila punguza viungo kwenye maji ya kuoga. Juzi rafiki yangu kasema nanukia kama mandazi
Hahhahahhahahhahahha wallahi nimecheka hahahha nikuekee maji viungo kwani ni chai hiyo
 
Nilibahatika kwenda maeneo ya Rombo leo lakini nilipofika maeneo ya ROMBO MASHATI iliingia sms hii kwenye simu yangu.

Tigo welcome you to Kenya use data at lowest rate of $0.15MB on safaricom network.

Enjoy your stay.

Ina Maana Rombo nayo iko Kenya?
Kawaida sana kwa sisi wakazi wa Rombo, hata radio nyingi zilikuwa ni kena , ila sasa hivi kuna kill fm na moshi fm, hta magazeti mengi ni kenya, Rombo miaka ya 2000 kushuka chini ilikuwa ni kama Kenya Full sasa hivi kuna afadhali
 
My dear hutokea sana limeshawahi kunitokea nikiwa tanga nilienda sehemu inaitwa duga maforoni nilikua safari yangu iishie horohoro nilipofika hapo duga nikapata sms inatoka tigo ikinambia safaricom welcomes you to kenya nikawa nashangaa tu itakua rombo huko ulikokwenda kupo karibu Na Kenya Bila shak
Mabokweni, Kisosora, Amboni, mikocheni,
 
SWALI:
Ivi kwanini Hao wakenya au nchi za jirani Wakisogea karibu na mipaka yetu huwa simu zao hazinasi minara yakwetu kama zinavyofanya simu zetu??
 
Back
Top Bottom