Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Umeshindwa kuattach duuuhNimeenda tena weekend hii ona nashindwa kuattach
Umeshindwa kuattach duuuhNimeenda tena weekend hii ona nashindwa kuattach
Hata mimi nilivyokuwa Rombo nilipata msg hiyo,nilipokuwa Longido nikasema nikatembee Namanga nilikaribishwa na msg hiyo.Nilipokuwa Tunduma nikatumiwa msg ya kukaribishwa Zambia.Nadhani ni kutokana na ukaribu wa hizi nchi so hata mawimbi ya mitandao hii ya simu unapokuwa sehemu fulani huingiliana.Nilibahatika kwenda maeneo ya Rombo leo lakini nilipofika maeneo ya ROMBO MASHATI iliingia sms hii kwenye simu yangu.
Tigo welcome you to Kenya use data at lowest rate of $0.15MB on safaricom network.
Enjoy your stay.
Ina Maana Rombo nayo iko Kenya?
Check pm akoUmeshindwa kuattach duuuh
Nimeona. NimeshakujibuCheck pm ako
Powaaa![]()
![]()
![]()
