Kilichonishangaza Rombo

Kilichonishangaza Rombo

Simu yako ilisoma mtandao gani?
Mkuu mshana mtandao aubadiliki kama ni Tigo una baki Tigo kama ni Voda unakuwa Voda hiyo. Hiyo kwa maeneo yenye network ukifikà sehemu zisizo Na network ndio utatumia message yenye Namba za kujiunga message yenyewe ni Safaricom welcomes you to Kenya. Please dial 825 to listen to your voicemail messages. Our Contact Centre no. is +254722002100. Enjoy your stay with us!
 
Hii ni kawaida sana kwakuwa signals hazitoki ardhini bali kwenye minara, hata ukifika Namanga upande wa Tanzania signals huanza kusoma za Kenya au Busia huanza kusoma za Kampala
 
My dear hutokea sana limeshawahi kunitokea nikiwa tanga nilienda sehemu inaitwa duga maforoni nilikua safari yangu iishie horohoro nilipofika hapo duga nikapata sms inatoka tigo ikinambia safaricom welcomes you to kenya nikawa nashangaa tu itakua rombo huko ulikokwenda kupo karibu Na Kenya Bila shak
Hahahah ulishangaa ukajua umefika Kenya.
 
Makampuni yetu ya Simu hayajali wateja wa pembezoni... Rombo kuna kipindi nilikaa miezi miwili nkawa natumia M-Pesa ya Safaricom ili biashara isikwame.

Anyways Rombo ni mpakani.... Je ulishaenda Loliondo kule kwa mwarabu? Nako utapata SMS ya tofauti sana
 
Ilibidi niulize wenyeji inakuaje maana at the mean time msg zilikua zinazidi kumiminika kunielekeza jinsi ya kupata huduma za hiyo safaricom
Mambo ya mpakani Hayo. Hapo lazima ushangae halafu kingine hizo sms zilizokuwa zinaingia. Ilisoma tigo-kenya
 
Mambo ya kawaida tu hayo uhalisia upon palepale mbona huku Ngara tunasikiliza radio Kwizela full kifanchee kama tupo Kongo,Rwanda au Burundi ila maisha yanaendelea....mipakani hayo mambo kawida sana kutokea
 
Nilibahatika kwenda maeneo ya Rombo leo lakini nilipofika maeneo ya ROMBO MASHATI iliingia sms hii kwenye simu yangu.
Tigo welcome you to Kenya use data at lowest rate of $0.15MB on safaricom network.
Enjoy your stay.
Ina Maana Rombo nayo iko Kenya?
signal ya Taveta-Kenya inafika huko. rombo ipo mpakani....
 
My dear hutokea sana limeshawahi kunitokea nikiwa tanga nilienda sehemu inaitwa duga maforoni nilikua safari yangu iishie horohoro nilipofika hapo duga nikapata sms inatoka tigo ikinambia safaricom welcomes you to kenya nikawa nashangaa tu itakua rombo huko ulikokwenda kupo karibu Na Kenya Bila shak
kumbe unatumia tigo hadi wewe
 
Hata ukifika kimgoa kabra ya namanga unakuta SMS za kenya
 
Back
Top Bottom