Kilichonikuta kwa wasichana wa bar

Kilichonikuta kwa wasichana wa bar

Kuna jamaa yangu alifanyiziwa hiyo Dar, acha tu 😂😂
 
Kwahiyo wanakuita Papaa?.😂😂😂😂
kabisa kabisa. Punguza.
Huruma sio Malezi

Wapo wana wanaojielewa, na pia huwa wanaushaur vizur kuhusy matumizi.

Unajua kwa mfano ukiwa na wana wa hovyo hata ukilewa ndio wanachochea kibunda kichanike vizur na pisi pia wanakuletea ili utoboke zaid 😂😂😂😂.
Sema kwa wanawake nilisha tundika daluga muda mrefu Sasa wife yupo....

Sema nimepata mchepuko mmoja bad enough simu siweki password hivyo kamkamata mwizi kabla ya 40

Hapa Kila siku ananiweka kikao duu nampenda wife ila sisi wanaume Kuna muda Huwa tunatamani kutafuna swala wengine 😊
 
MICHEZO hii wanafanya sana wadada wa bar za kimara mbezi ni wapuuzi sana nishawahi kuacha simu zangu mbili pamoja kuibiwa laki nne
 
Aisee kumbe yule jamaa aliyekuja kwa kuyumba yumba alikuwa anaigiza tu, na yawezekana alikuwekea dawa kwenye kinywaji.

Ndo maana wazee wanasema ukisia sauti ya ndani usiidharau.
Nilikua muda sana mpaka nikawa naogopa kwa kweriiiii niliogopa...

Kingenikuta nini ninge endelea kukaa pale kwenye ile meza na wale WAHUNI wamefanya wao..

Ule usingizi niliona lala pale restaurant ulikua mzito mno kiasi cha kunishangaza yaani flying fish tatu zikufanye upoteze network?
 
Kwa kweli hilo ni fundisho, nadhani siku zilizofuatia uliongeza umakani zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom