To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,219
- 37,951
Mwanaume anaroho ngumu huyu aisee,mwanamke asukume gari?Ndio gari imezima 😂
Mwanaume anaroho ngumu huyu aisee,mwanamke asukume gari?Ndio gari imezima 😂
😂😂😂😂jamaa ni katili mnoHapo ndipo unapokutana na mstari utakaokambia hii ni hadithi ya uongo ya kutunga. Hata kama hiyo gari yako ni Bajaji, huwezi kumwambia mwanamke shuka usukume gari, hata Mkurya hafanyi hivyo kwa mwanamke
We hujaelewa myMwanaume anaroho ngumu huyu aisee,mwanamke asukume gari?
cku ukienda ukuryani utalala ndani ya nyumba ya ndama na mbuzi.Hapo ndipo unapokutana na mstari utakaokambia hii ni hadithi ya uongo ya kutunga. Hata kama hiyo gari yako ni Bajaji, huwezi kumwambia mwanamke shuka usukume gari, hata Mkurya hafanyi hivyo kwa mwanamke
Nilielewa vizuri kipenzi,shida inapokuja ni kutamka tu sentensi”shuka ukasukume gari”We hujaelewa my
Huyu lengo lake
Mwanamke ashuke ili amkimbie ili akajionee hizo tembe kwenye mkoba 😂😂
Diazepam a.k.a 'mbandandu' 😆😆😆Tembe hizo zikoje
Wakuu
Hata mi nisingekuabari heh😂Nilielewa vizuri kipenzi,shida inapokuja ni kutamka tu sentensi”shuka ukasukume gari”
stillnox zinalalishaTembe hizo zikoje
Wakuu
mjini mipango lazima muibiwe sanakuna ke mmoja ilikuwa inaninyemelea pale bar, nikaicheki wee ikaondoka.
Umenipa funzo
samahani, nilikosea kukumbuka ilikuwa pikipiki. siyo hadithi ya uongo mkuuHapo ndipo unapokutana na mstari utakaokambia hii ni hadithi ya uongo ya kutunga. Hata kama hiyo gari yako ni Bajaji, huwezi kumwambia mwanamke shuka usukume gari, hata Mkurya hafanyi hivyo kwa mwanamke
samahani, nilikosea kukumbuka ilikuwa pikipiki. siyo hadithi ya uongo mkuuUmesema ulimwambia ashuke asukume gari?
😅😃😂😁😀Usimuonee huruma mwanamke
Mwanamke ni shetani nyoka.