Kilichonikuta kwa wasichana wa bar

Kilichonikuta kwa wasichana wa bar

Nilimpata mwanadada kwa baa .kabla nikae naye niliongea na bawabu anijulishe kama huyu dada ataweka dawa kwa kinywaji changu nikiondoka.

Nilimwita mwanadada huyo nikamnunulia bia pia mimi nikachukua bia tulizungumza mda mfupi ,alafu nikaondoka nikajifanya niko msalani.nikamuuliza bawabu akanijulisha mwanadada ameweka tembe kwa kinywaji changu niliagiza kinywaji kingine .

Baadaye nikamwambia mwanadada tuende zetu kwangu akakubali. tulitoka tukaingia kwa gari langu tukaanza safari mwanadada alikua na mkoba wake.baada ya mwendo wa kilomita 10 nikajifanya gari lina shida nikaizima nikamshawishi mwanadada ashuke asukume gari.

Pindi tu aliposhuka na kusukuma gari niliwasha na nikaenda kwa mwendo wa kasi .Nilipofika kwangu kilomita 20 niliangalia mkoba wake nikapata tembe hamsini za kufanya watu walale.Hizi ndio anatumia kuwekea watu kwa kinywaji na kuwaibia.Nilifanya makosa kweli
Kama umeitafsiri kutoka lugha ya kingereza
 
Pipa na mfuniko wake ! Unampelekaje malaya kwako? Unataka kuoa ? Hapo ulipozima gari ungeshuka chini umuombe kimoja umpe na posho yake upite hivi !!!!!
 
Nilimpata mwanadada kwa baa .kabla nikae naye niliongea na bawabu anijulishe kama huyu dada ataweka dawa kwa kinywaji changu nikiondoka.

Nilimwita mwanadada huyo nikamnunulia bia pia mimi nikachukua bia tulizungumza mda mfupi ,alafu nikaondoka nikajifanya niko msalani.nikamuuliza bawabu akanijulisha mwanadada ameweka tembe kwa kinywaji changu niliagiza kinywaji kingine .

Baadaye nikamwambia mwanadada tuende zetu kwangu akakubali. tulitoka tukaingia kwa gari langu tukaanza safari mwanadada alikua na mkoba wake.baada ya mwendo wa kilomita 10 nikajifanya gari lina shida nikaizima nikamshawishi mwanadada ashuke asukume gari.

Pindi tu aliposhuka na kusukuma gari niliwasha na nikaenda kwa mwendo wa kasi .Nilipofika kwangu kilomita 20 niliangalia mkoba wake nikapata tembe hamsini za kufanya watu walale.Hizi ndio anatumia kuwekea watu kwa kinywaji na kuwaibia.Nilifanya makosa kweli

Msichana anayepora kwa kutumia dawa​

  • Thread startermfutwa1
  • Start dateApr 10, 2023 hii stori ililetwa humu na ndugu yetu mfutwa we umekopi kama ilivyo nyambafu
 
cku ukienda ukuryani utalala ndani ya nyumba ya ndama na mbuzi.
Kwa nini Mkuu, nimetoa siri za Wakurya? Unfortunately, kwa Mkurya mwanamke ni chombo, sio mwanadamu mwenza. Huo ndio ukweli! Kama mwanamke unatakiwa ukeketwe, na ukiolewa ni suala la rara nikurare kwa sababu hupaswi kuwa na feelings kwenye hilo suala!
 
bro huo ni uongo sa ivi kulingana na nyakati mambo yalishabadilika na hata tohara kwa wanawake sku hzi sio lazima ndugu yangu usiishi kwa kuambiwa bila kuona ndio hayo uloyasema yapo lakin ni kwa 20%. Hayo mambo ya kizaman na ukwel yalikuwepo ila kwa sasa hayapo saana
 
Sio lazima - maana yake tohara bado zipo kwa wanawake. Hazipaswi kuwapo!
 
tuachane na hayo hayatusaidii lolote ila ukweli n kuwa mambo yalishabadilika. Vip taifa stars leo kupata kibonde wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom