Wasomi kama Kibajaji?Magufuli anataka wasomi tu, nothing else.

Mtakiga ramli mpaka mwisho wa dunia!Kama mtakumbuka, kipindi hiki cha miaka mitano ya utumwa ya bwana yule kulitokea upuuzi wa Polisi kukamatakamata watu hasa upinzani kipuuzipuuzi.
Kuna siku Balozi Adadi alisimama bungeni na kueleza kuwa kilichokuwa kinafanyika ni uhuni na kwamba kuna taratibu zake za kumkamata mtuhumiwa na kwamba Polisi wanazijua vyema.
Alienda mbali na kusema kuwa, huwezi kumkamata mtu kienyeji tu kwa shinikizo la wana siasa!! Kauli ile najua haikumpendeza bwana yule Na kwakuwa jamaa ni mtu wa visasi basi huu ndio ulikua muda muafaka wa kulipiza kisasi.
Mungu ibariki Tanzania
Soma
Video kutoka Maktaba: Hotuba nzuri sana ya Adadi Rajabu bungeni, tuwe na tubakie humo
Ya nini kuhangaika hivi? Magufuli mwenyewe kataa Mara ngapi tena hadhali?Kama mtakumbuka, kipindi hiki cha miaka mitano ya utumwa ya bwana yule kulitokea upuuzi wa Polisi kukamatakamata watu hasa upinzani kipuuzipuuzi.
Kuna siku Balozi Adadi alisimama bungeni na kueleza kuwa kilichokuwa kinafanyika ni uhuni na kwamba kuna taratibu zake za kumkamata mtuhumiwa na kwamba Polisi wanazijua vyema.
Alienda mbali na kusema kuwa, huwezi kumkamata mtu kienyeji tu kwa shinikizo la wana siasa!! Kauli ile najua haikumpendeza bwana yule Na kwakuwa jamaa ni mtu wa visasi basi huu ndio ulikua muda muafaka wa kulipiza kisasi.
Mungu ibariki Tanzania
Soma
Video kutoka Maktaba: Hotuba nzuri sana ya Adadi Rajabu bungeni, tuwe na tubakie humo
Yule kosa lake kwani hulijui mkuu? Kosa lake ni kuvujisha mpango mapema. Wakuu walikubaliana ule mchapuo uanze baada ya 2020 kupita. Yeye akajitia kiherehere.Na yule Jamaa anayetokea Chemba aliyekuwa anang'ang'aniza Bw Mkubwa aongezewe muda mbona naye yamemkuta, ina maana nae alimuudhi Bw Mkubwa?.
Sahihi kabisa mkuuKama mtakumbuka, kipindi hiki cha miaka mitano ya utumwa ya bwana yule kulitokea upuuzi wa Polisi kukamatakamata watu hasa upinzani kipuuzipuuzi.
Kuna siku Balozi Adadi alisimama bungeni na kueleza kuwa kilichokuwa kinafanyika ni uhuni na kwamba kuna taratibu zake za kumkamata mtuhumiwa na kwamba Polisi wanazijua vyema.
Alienda mbali na kusema kuwa, huwezi kumkamata mtu kienyeji tu kwa shinikizo la wana siasa!! Kauli ile najua haikumpendeza bwana yule Na kwakuwa jamaa ni mtu wa visasi basi huu ndio ulikua muda muafaka wa kulipiza kisasi.
Mungu ibariki Tanzania
Soma
Video kutoka Maktaba: Hotuba nzuri sana ya Adadi Rajabu bungeni, tuwe na tubakie humo
KUPATA KIHOJA KINGINE KAMA HIKIKama mtakumbuka, kipindi hiki cha miaka mitano ya utumwa ya bwana yule kulitokea upuuzi wa Polisi kukamatakamata watu hasa upinzani kipuuzipuuzi.
Kuna siku Balozi Adadi alisimama bungeni na kueleza kuwa kilichokuwa kinafanyika ni uhuni na kwamba kuna taratibu zake za kumkamata mtuhumiwa na kwamba Polisi wanazijua vyema.
Alienda mbali na kusema kuwa, huwezi kumkamata mtu kienyeji tu kwa shinikizo la wana siasa!! Kauli ile najua haikumpendeza bwana yule Na kwakuwa jamaa ni mtu wa visasi basi huu ndio ulikua muda muafaka wa kulipiza kisasi.
Mungu ibariki Tanzania
Soma
Video kutoka Maktaba: Hotuba nzuri sana ya Adadi Rajabu bungeni, tuwe na tubakie humo
Angalia vizuri walioteuliwa, vijana wote wenye umri wa miaka 20+ wenye shule na waliogombea na kupata kura chache wamepitishwa kugombea lengo ni kuweka damu changa katika system za chama, CCM haiwazi uchaguzi wa 2020 inawaza pia wa 2030.
Huyo alishindwa kura za maoni.Na yule Jamaa anayetokea Chemba aliyekuwa anang'ang'aniza Bw Mkubwa aongezewe muda mbona naye yamemkuta, ina maana nae alimuudhi Bw Mkubwa?.
Nilidhani naye msomi. Kumbe ubalozini walimpeleka mbugila tu?Magufuli anataka wasomi tu, nothing else.