Tetesi: Kilichomponza Balozi Adadi Rajabu hiki hapa

Kama mtakumbuka, kipindi hiki cha miaka mitano ya utumwa ya bwana yule kulitokea upuuzi wa Polisi kukamatakamata watu hasa upinzani kipuuzipuuzi.

Kuna siku Balozi Adadi alisimama bungeni na kueleza kuwa kilichokua kinafanyika ni uhuni na kwamba kuna taratibu zake za kumkamata mtuhumiwa na kwamba Polisi wanazijua vyema.

Alienda mbali na kusema kuwa, huwezi kumkamata mtu kienyeji tu kwa shinikizo la wana siasa!! Kauli ile najua haikumpendeza bwana yule Na kwakuwa jamaa ni MTU wa visasi basi huu ndo ulikua muda muafaka wa kulipiza kisasi.

Mungu ibariki Tanzania
Mbona Magufuli ni mtu wa haki sana ,
 
Ila tuwe tu wakweli, hivi Adadi Rajabu ni wa kushindwa na MwanaFA? Hebu afanye maamuzi magumu tuone nini kitafuata!
Kama akiamua kwenda upinzani atashinda mchana kweupe.Shida ni kuwa anaweza kwenda upinzan afu akajiuzulu.Yakaanza kutokea yale ya kina luwasa na Simaye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom