Kilichompeleka JK USA hiki hapa

Bin Maryam

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2007
Messages
685
Points
0

Bin Maryam

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2007
685 0
it's so absurd and indeed defies logic for our dear President to attend such an event whose motives are not clear.Were it a musical concert for fundraising to help the hungry and poor and the sick and JK asked being a guest of honor for the event ingeeleweka,yaani ingekuwa kama ile ya USA 1984 for Ethiopia,hapo hata angepiga picha na kina Beyonce,Rihanna,J.Lo,Eve,Lady Saw,Foxy Brown et al ingeeleweka...

Or was it to fulfil a long held dream and make true of his alias "Boyz II Men"?Please JK may you be serious for a moment?History will record all that you are doing now and as Bob Marley put it"time will tell..."
Sina mpango na JK lakini inaonyesha watu mna matatizo. Kama kitu ukielewi jifunze kwanza kabla kutoa maoni. Uki-google utapata taarifa nyingi kuhusu hiyo organization.

Organization inaunganisha wamarekani weusi na nchi za kiafrika. Yeye amealikwa na waandalizi waliandaa Boyz to Men. Kama waandalizi wangetoa mwaliko kwa John Komba basi na angepiga picha na John Komba.

Hata viongozi waliokuwa bize na kuacha kujirusha mbona wametuacha masikini?
 
Pundit

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Messages
3,740
Points
1,225

Pundit

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2007
3,740 1,225
Bin Maryam umeusoma unyang'au na ufisadi wa Sullivan/GWI? Umesoma jinsi Sinclair alivyokuwa anatokwa na mate kuhusu "my good friend Kikwete" wakati wa campaign za uchaguzi? Umesoma utumbo aliofanya Andrew Young na Obasanjo Nigeria?
 
houseboy

Member
Joined
Jul 22, 2007
Messages
39
Points
0

houseboy

Member
Joined Jul 22, 2007
39 0
MH.Rais ni Mwana uchumi mzuri sana hawa jamaa watakuja Arusha na zaidi ya watu 5000 kutoka USA na zaidi ya watu 10,000 kutoka sehemu mbalimbali za dunia italingizia taifa mapato kibao TURKER alisema naye atakuwapo JESSE JACKSON pengine ata boys 11 men wanaweza kuja acheni kulalamika angalieni upande mwingine wa sarafu
 
WembeMkali

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2007
Messages
282
Points
0

WembeMkali

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2007
282 0
MH.Rais ni Mwana uchumi mzuri sana hawa jamaa watakuja Arusha na zaidi ya watu 5000 kutoka USA na zaidi ya watu 10,000 kutoka sehemu mbalimbali za dunia italingizia taifa mapato kibao TURKER alisema naye atakuwapo JESSE JACKSON pengine ata boys 11 men wanaweza kuja acheni kulalamika angalieni upande mwingine wa sarafu
Mwana uchumi gani asiyejua kulinda rasilimali za nchi yake.Au huo uchumi ni wa kusafiri tuuu bila ya kuinua hali ya maisha ya wananchi wake.Hebu jamani muoneeni huruma akina mama zetu wajawazito na vichanga pale muhimbili japo kwa kuwapatia dawa na vitanda vya kulalia tu..hizi safari na misifa haitufikishi popote.

-Wembe
 
Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Points
0

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 0
hivi mshauri wa JK wa uchumi ni nani?

maana sie ukianza kusema tunayoyajua kuhusu yule mwanamke ambaye anawakilisha GOODWORKS mtasema huu ni uzushi

acheni kutufanya sie wajinga na kimya chetu sio sababu ya kutufanya wajinga

Kulikuwa na ulazima gani wa kwenda huko USA in the first place?
 
Bin Maryam

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2007
Messages
685
Points
0

Bin Maryam

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2007
685 0
Bin Maryam umeusoma unyang'au na ufisadi wa Sullivan/GWI? Umesoma jinsi Sinclair alivyokuwa anatokwa na mate kuhusu "my good friend Kikwete" wakati wa campaign za uchaguzi? Umesoma utumbo aliofanya Andrew Young na Obasanjo Nigeria?
Kama wanavyosema wamarekani you are innocent until proven guilty. Mpaka sasa sijaona ubaya wa organization iliyomwalika JK.

Hata kama kuna ubaya wa hicho chombo, umefika wakati watanzania kuji-connect na African diaspora. Pamoja na vyombo vya watu weusi kutokuwa na ufanisi mkubwa kiutendaji, vina watu wachache wazuri ndani ambao wana-moyo wa kisaidia Afrika au waafrika.

Inabidi watanzania wahudhurie mikutano kama hii na kujichanganya na wa-marekani weusi.

Wakina Andrew Young, JK, Jesse Jackson ni wachangamshaji tu wa mkutano lakini wanaoudhuria wanatakiwa kutumia nafasi hizi ku-open business opportunities. Hapo sio sehemu ya kwenda na vi-camera na kupata snapshot too.
 
Bin Maryam

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2007
Messages
685
Points
0

Bin Maryam

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2007
685 0
MH.Rais ni Mwana uchumi mzuri sana hawa jamaa watakuja Arusha na zaidi ya watu 5000 kutoka USA na zaidi ya watu 10,000 kutoka sehemu mbalimbali za dunia italingizia taifa mapato kibao TURKER alisema naye atakuwapo JESSE JACKSON pengine ata boys 11 men wanaweza kuja acheni kulalamika angalieni upande mwingine wa sarafu

Watanzania wanataka mikutano ya kuomba hela au kuchangisha pesa za kusaidia tu.

Haya mambo ya kufikiria kila mtu anajua Serengeti au Mlima Kilimanjaro hupo Tanzania hayapo.

Wakati umefika wa watanzania kutoka nje na kujichanganya.
 
Susuviri

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
3,713
Points
1,250

Susuviri

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
3,713 1,250

Bin Maryam! Tafadhali naona unahitaji kutembelea thread "Sullivan Summit, Tanzania, Andrew Young connecting the dots" ili uelewe kinacholalamikiwa hapa. Hii kusema eti wanavutia wawekezaji ni utumbo mtupu! Naomba utulize akili usome thread hiyo ndefu ili upate kuelewa vizuri kinachoendelea! Eti 'innocent until proven guilty'? Well, they have been found guilty several times in the court of public opinion! Especially in poor African countries! That is enough!
 
Susuviri

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
3,713
Points
1,250

Susuviri

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
3,713 1,250
MH.Rais ni Mwana uchumi mzuri sana hawa jamaa watakuja Arusha na zaidi ya watu 5000 kutoka USA na zaidi ya watu 10,000 kutoka sehemu mbalimbali za dunia italingizia taifa mapato kibao TURKER alisema naye atakuwapo JESSE JACKSON pengine ata boys 11 men wanaweza kuja acheni kulalamika angalieni upande mwingine wa sarafu
Really?!!!! Hawa watu zaidi ya 5,000 watakaokuja ni akina nani? Any confirmation? zaidi ya watu 10,000 kutoka sehemu mbalimbali za dunia? Really? Itaingiza taifa mapato kibao! How? Jamani msiongee tu, mkutano huu umefanyika NIgeria mara mbili na hakuna kilichobadilika! Wabongo mnapenda sana kutumia maneno makuuubwa! Mi nataka facts hapa. Nimemwaga fact kwene thread yangu ya "Sullivan Summit, Tanzania Andrew Young connecting the dots"
Kama una facts basi tueleze, maana huu ni usanii. Hivi seriously! Boyz II Men wakija watatuongezea vipi pato la taifa au Jesse Jackson?
 
DAR si LAMU

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Messages
2,940
Points
1,500

DAR si LAMU

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2007
2,940 1,500
hivi mshauri wa JK wa uchumi ni nani?
..it doesn't matter!

maana sie ukianza kusema tunayoyajua kuhusu yule mwanamke ambaye anawakilisha GOODWORKS mtasema huu ni uzushi
..eeh bwana lete story za jill!Kulikuwa na ulazima gani wa kwenda huko USA in the first place?
..nadhani anaujua yeye.

..ila wakiletwa bongo hao jamaa itakuwa poa. i mean, boys 2 men.
 
Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Points
0

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 0
..it doesn't matter!
Unamaana siyo muhimu kuwajua washauri wa Uchumi wa JK? You cant be serious. Hatuwezi kumjadili JK bila kujua profile ya timu yake ya Uchumi
..eeh bwana lete story za jill!
Jill ni kinganganizi ile mbaya anaweza akawa anampigia masimu JK mpaka usiku wa saa sita kutaka kulazimisha appointment on the next day. JK kuna kipindi akawa keshamchoka na kama unavyojua JK akaamua kumtupia mzigo Membe na Membe kama umjuavyo anataka procedure zifuatwe then mpira ukawa unarudishwa kwa Lumbanga(huyu naye anakesi ya kutapeli viwanja sema kasi ya ya hongo pale kitusi haina mfano..thread yake itabidi ijitegemee) lakini sasa katika wigo la Jill na JK, likaingiliwa na Mchungaji Charles Stith (alikuwa balozi na alihusika na kuwatuma ma agent pale Usalam wa Taifa jirani na st Peter kuchukua mchanga wa kujenga ubalozi mpya matoeo yake ikawa bonge la noma na jamaa wa Usalama na JK enzi hizo yuko Foreign) anyway Stith baada kugonga Ukuta ikabidi GWI waanze kutumia Gia kubwa ya mgongo wa Bibie kule State kwa kisingizio ni black mwenzetu, lakini unajua yule bibie ni mnoko ile mbaya lakini hakutaka kumsononesha Andy Young akawapa contact ya lobbyist mmoja yuko K street DC nitakupa address yake in PM) sasa hapo ndipo mzaramo wetu alipatwa and the rest is history anazidi ku clock air miles!

Hapo sijakueleza role walizozicheza akina Bomani na Rupia..nadhani anaujua yeye...ila wakiletwa bongo hao jamaa itakuwa poa. i mean, boys 2 men.
WASTING TAX PAYERS MONEY

We need serious investors na ninavyojua mie hawa ma AA are not serious investors kama naongopa lets have this discussion 6 moths after hii LSC ...reference yangu ni Nigeria na Senegal
 
Bin Maryam

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2007
Messages
685
Points
0

Bin Maryam

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2007
685 0
Bin Maryam! Tafadhali naona unahitaji kutembelea thread "Sullivan Summit, Tanzania, Andrew Young connecting the dots" ili uelewe kinacholalamikiwa hapa. Hii kusema eti wanavutia wawekezaji ni utumbo mtupu! Naomba utulize akili usome thread hiyo ndefu ili upate kuelewa vizuri kinachoendelea! Eti 'innocent until proven guilty'? Well, they have been found guilty several times in the court of public opinion! Especially in poor African countries! That is enough!
Hiyo Mada ya Sullivan Summit, Tanzania, Andrew Young imejazana umbeya tu.

Tanzania inahitaji wawekezaji kutoka nje kuliko wawekezaji kutoka nje wanavyohitaji Tanzania.

Na vile vile poor African countries zinahitaji wawekezaji kutoka nje kuliko wawekezaji kutoka nje wanavyohitaji poor African countries.

Kinachosumbua ni kufikiri kuwa wawekezaji wanawaibia mali zenu. Hizo mali mnazodai mmekaa nazo toka dunia imeanza na mmeshindwa kujua thamani ya vitu hivyo. Hata mkipewa miaka mingine 1000 bado mtashindwa kuzitumia. Ni afadhari wawekezaji wanavuna tusichokijua na kutuachia kisu kidogo.

Sasa hivi wawekezaji wanatoka kona zote za dunia. Wachina ni wawekezaji wakubwa sasa Afrika. Ongezeko la umaarufu wa China ni mkubwa kuliko nchi zilizokuwa na makoloni Afrika. Hivyo kila nchi inatafuta njia zake za kujipenya Afrika au katika nchi wanayoweza kuweka mitaji yao.

Hivyo basi connection ya makampuni ya kimarekani kuweka investment zao africa kwa kutumia wamarekani weusi is perfectly legal.

Kama Mchina aliweza kuwaalika marais wote wa-Africa kwanini mmarekani asitumie kadi yake ya weusi.
 
Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Points
0

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 0
hakuna anyekataa legality lakini tatizo ni pale GWI inapotumia Sullivan kama launch pad ya kuonyesha jinsi gani walivyoserious huku kila mtu anajua jinsi gani walivyohusika na wizi wa mikataba ambayo inaweza ikaput inshame mikataba ya kilanguzi ya KARL PETERS

hiyo mwanamke JILL ni very prominent na hakuna umbeya katika hili naweza kukuhakikishia
 
Bin Maryam

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2007
Messages
685
Points
0

Bin Maryam

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2007
685 0
Unamaana siyo muhimu kuwajua washauri wa Uchumi wa JK? You cant be serious. Hatuwezi kumjadili JK bila kujua profile ya timu yake ya Uchumi

Jill ni kinganganizi ile mbaya anaweza akawa anampigia masimu JK mpaka usiku wa saa sita kutaka kulazimisha appointment on the next day. JK kuna kipindi akawa keshamchoka na kama unavyojua JK akaamua kumtupia mzigo Membe na Membe kama umjuavyo anataka procedure zifuatwe then mpira ukawa unarudishwa kwa Lumbanga(huyu naye anakesi ya kutapeli viwanja sema kasi ya ya hongo pale kitusi haina mfano..thread yake itabidi ijitegemee) lakini sasa katika wigo la Jill na JK, likaingiliwa na Mchungaji Charles Stith (alikuwa balozi na alihusika na kuwatuma ma agent pale Usalam wa Taifa jirani na st Peter kuchukua mchanga wa kujenga ubalozi mpya matoeo yake ikawa bonge la noma na jamaa wa Usalama na JK enzi hizo yuko Foreign) anyway Stith baada kugonga Ukuta ikabidi GWI waanze kutumia Gia kubwa ya mgongo wa Bibie kule State kwa kisingizio ni black mwenzetu, lakini unajua yule bibie ni mnoko ile mbaya lakini hakutaka kumsononesha Andy Young akawapa contact ya lobbyist mmoja yuko K street DC nitakupa address yake in PM) sasa hapo ndipo mzaramo wetu alipatwa and the rest is history anazidi ku clock air miles!

Hapo sijakueleza role walizozicheza akina Bomani na Rupia

WASTING TAX PAYERS MONEY

We need serious investors na ninavyojua mie hawa ma AA are not serious investors kama naongopa lets have this discussion 6 moths after hii LSC ...reference yangu ni Nigeria na Senegal
Sijuhi unaishi wapi. Makampuni mengi yanatumia proxies. AA sio serious investors lakini kila kampuni kubwa marekani lina quota yake ya minorities na vile vile ni lazima lijishughulishe na coorperate citizenship na hapo ndipo utawakuta AA.
 
Bin Maryam

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2007
Messages
685
Points
0

Bin Maryam

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2007
685 0
hakuna anyekataa legality lakini tatizo ni pale GWI inapotumia Sullivan kama launch pad ya kuonyesha jinsi gani walivyoserious huku kila mtu anajua jinsi gani walivyohusika na wizi wa mikataba ambayo inaweza ikaput inshame mikataba ya kilanguzi ya KARL PETERS

hiyo mwanamke JILL ni very prominent na hakuna umbeya katika hili naweza kukuhakikishia
Kumbe unazungumza mikataba. Mikataba ni lazima pande zinazohusika zikubali. Kama upande wa Tanzania unachemsha kwanini unatoa lawama kwa wamarekani?

Ngoja nirudie aliyosema Agustine Moshi kuhusu Kenyatta:

Kenya wanafuata kwa umakini wito waliopewa rasmi na Baba Wa taifa lao (Jomo Kenyatta). Wakati tunatangaza Azimio la Arusha, Kenyatta aliwaasa Wakenya kama ifuatavyo: "Ukiona mutu imelala, nyonya yeye!"
 
houseboy

Member
Joined
Jul 22, 2007
Messages
39
Points
0

houseboy

Member
Joined Jul 22, 2007
39 0
Kuna faida kubwa sana Taifa linaweza kupata kwa kuja kwa watu hao hapo bongo,kwanza kuitangaza Bongo ambayo watu wengi sana USA awaijui,pili utalii,tatu biashara,nne wawekezaji.nadhani Raisi anafanya jambo la maana sana nakumbuka kwa wakati CNN walipotoa tangazo la Bongo watu wengi sana wameanza kuijua bongo,ni fedha nyingi sana wametumia kutoa tangazo lile lakini nadhani litalipa tu,kwani tunajitangaza,pia ukicheki jinsi jamaa anapojalibu kuanzisha shule na zahanati kila kona,jamaa ni kiboko tatizo langu ni moja ni lazima Raisi afikirie kutengeneza vivutio vizuri kama vile maoteli kwa wingi ,sehemu za kisasa za michezo,water front yenye kila kitu
 
machame1

New Member
Joined
Jul 29, 2007
Messages
1
Points
0

machame1

New Member
Joined Jul 29, 2007
1 0
Rais wetu ni social kuna marais wengine hata kupiga picha tu wananchi wao hataki,sasa JK kupiga picha na boyz 2 men,inakuwa balaa,hakika nampenda rais kwa kuhamasisha jumuiya mbalimbali pindi apatapo nafasi,na hawa wenzetu weusi kuna matabaka,na kuna matabaka wanapenda sana mila na desturi hasa za Africa wakiamini kihistoria walitokea huko,tuwape moyo na tuwakaribishe nyumbani!wengine wana imani mbaya,kuwa africa wanaishi wanyama tu.
 
Kishazi

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Messages
492
Points
225

Kishazi

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2007
492 225
Wana JF nasikia sio kupiga picha tu na Boyz II Men. Jamaa aliwahi kwenda kuangalia mechi ya Newcastle na kuwaacha watanzania wamezubaa. Hapo Vp wataalamu wa udadisi wa JF...!!! Hebu tupeni uhakika wa habari hz..!!! Manake natamani kuhakikishiwa..!!
 
Forum statistics

Threads 1,382,762
Members 526,462
Posts 33,836,947
Top