Kili Music Awards 2011

Kili Music Awards 2011

Muimbaji bora wa kike ni Linah na muimbaji bora wa kiume ni 20%
 
Pengine walio ukumbini wanaenjoy zaidi/wanaona vitu bora zaidi! Kwa ss tunaoangalia tv itv wametuangusha...
Its not ttizo la ITV/TV. Tatizo ni Event Organizer wa hii ki2.Inahitajika elimu kubwa sana kuandaa hivi vitu. Ni aibu kubwa kwa Tuzo za muziki kubwa kuliko zote ktk nchi hii kuonekana kichekesho
 
Its not ttizo la ITV/TV. Tatizo ni Event Organizer wa hii ki2.Inahitajika elimu kubwa sana kuandaa hivi vitu. Ni aibu kubwa kwa Tuzo za muziki kubwa kuliko zote ktk nchi hii kuonekana kichekesho

orait organisation ni mbovu, walitakiwa wafanye nn? We should be giving a constructive criticism..!
 
watu wanaweza kutofautisha kati ya itv na maandalizi mabovu
na kutuwekea nyimbo za mwaka juzi nayo ni itv:embarassed2:
sabu inayofanya kill awards kudorora ni wasanii wenyewe kwa aliekuwa na wazo hili ni marehemu MTOTO WA DANDU na alichokifanya ni kutafuta wadhamini wa tukio kwa hali hiyo tukio haliwezi noga kwakutokushiri kwa wamewaachia wadhamini kuteka kila kitu.
 
20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20%
 
Yaani 20% keshazipiga nne. Hii inaonyesha jinsi Watanzania bado wanapenda vionjo vya Kitanzania.
 
Sitak kuamin kama ni Watz ndio wamemchagua mwimbaji bora wa nyimbo za asilia kuwa ni Mpoki na kibao chake cha Shangazi katika kinyanganyiro cha tuzo hiyo iliyowashirikisha wasanii wengine kama Mrisho mpoto na kibao chake Adela lkn kura za watz zilimwangukia Mpoki.Ikiwa kama watz wa leo tunachagua nyimbo zenye mashairi ya SHANGAZ UNA NYETI KULIKO HIZI TUNAZO, NYOKA HANA KIUNO NDO MANA HAVAI SHANGA kama anavyoimba mpoki na kuacha nyimbo zenye mashairi ya kutufundisha na kuonya basi tumekwisha.
ILA KAMA MAF
Angalau uchaguzi wa 20% kwa tunzo nne kwa nyimbo zake kidogo unaleta maana.
 
Hata movie yake ya mwaka jana, (20% furaha hiko wapi) ijapokuwa walimpunja malipo, nackia ndio iliongoza kwa mauzo
 
tishet ya stara haijaandikwa '***' **** si ndio au macho yangu

*** ni jina la duka yaani inaweza ikawa na biashara zingine ila nguo zao kama T-shirts etc huwa zina jina la brand yao ni French Connection UK
Google utaiona
 
Back
Top Bottom