Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Stara on stage.
sasa stara ataimba nini zaidi ya zilipendwa! Its like listening to georgina in 2011!
BiMkubwa upoooo!!?? yaani, ni kama tumeumbwa kuwa watu wa substandard.. we are inspired to be great; just to be minimum! like a nation of bare minimum!
Stara on stage.
Am Surprised analumbuka hata lyrics......Stara on stage.
Nipo hun! Niende wapi? Star times imenichosha sasa natazama hii award show initoe boredom. Upo hapa! I can imagine whats going through your mind. or is it streaming live online?
Yaani ni kweli yaani we are a nation of substandards huwezi amini.
Stara Thomas kapanda kwenye stage kuperform, ndani ya shati kavaa t shirt imandikwa ***, isnt this ****?! Coz huwa wanainterchange letters siku hizi. Mama mtu mzima! Aibu
Kwanza kwanini wanaweka kwa mtindo wa dinner gala; hii ni show ya zawadi na tuzo; watu wataenda kula kwenye tafrija zao huko huko au watakuwa wameshapata kidogo mitaa hiyo mingine ndio maana show inaanza a little bit late.. watu wanakuja kwa shughuli moja tu hapo.
Yep Katavi , Kama tumeamua kwenda kiglobal basi tujitahidi kwenda sambamba na dunia. Mwanamke siku zote anabusiwa, sio kukumbatiwa. Tena kuna wanume wanamgonga mwanamke bega kabisa. Mtawavunja warembo wa watuAhahahaah! Kumbe ndio hivyo nilikuwa silijui hili.