kila cku 2taendelea kulalamika na vitu vcvykua na mcngi... Hao wamejitaidi leo kulinganisha na awards zote zilizopita, kuanzia kupga live band kushlikisha wasanii wa ndani 2 ktoa burudan na v2 vngne vingi.!! Ka mtashndwa kuwapongeza kwa hcho kdgo daima 2tabak nyma kila cku, ni bora 2kawapa moyo au ka vp anzisheni za kwenu 2zione.... Unakuta m2 ajapiga ata kula alaf ndo wakwnza kulalamika humu cjui unategemea nin
20% sijui yuko wapi.........Producer wake Man Walter anampokelea tuzo...lol
naona amestahili
Wadau tunaomba mwenye list ya winners wa kili music award atubandikie hapa.
nawasilisha
tuko nyuma kila kitu kwahiyo haishangaziAfadhali yako unaeulizia list tu ila haukuona hilo tukio, maana kila kitu kilikuwa kipo hovyo hovyo, wanamuziki wanashindwa kuimba live, washindi hawana la kuongea zaidi ya kutuma salamu utadhani tupo kwenye kipindi cha kutuma salamu cha radio Tz. Bado tupo nyuma sana coz kasoro ndogondogo na za wazi zilikuwa kibao mpaka inaboa..
alikua kichekesho tu kwenye stageJamani yupo wapi Diamond, hata tuzo moja hakupata.......::lalala:
Afadhali yako unaeulizia list tu ila haukuona hilo tukio, maana kila kitu kilikuwa kipo hovyo hovyo, wanamuziki wanashindwa kuimba live, washindi hawana la kuongea zaidi ya kutuma salamu utadhani tupo kwenye kipindi cha kutuma salamu cha radio Tz. Bado tupo nyuma sana coz kasoro ndogondogo na za wazi zilikuwa kibao mpaka inaboa..
Wadau naombeni mawazo yenu juu ya hili,inawezekana vp msanii bora wa hiphop asiwe na nyimbo bora ya hiphop?jana nilishangaa kuona Joh makini akipewa tuzo ya msanii bora wa hiphop lakini ameshindwa kwenye nyimbo bora ya hiphop na JCB,nadhani JCB alistahili kupewa tuzo ya arstist bora wa mwaka,ninyi mwaonaje?
Afadhali yako unaeulizia list tu ila haukuona hilo tukio, maana kila kitu kilikuwa kipo hovyo hovyo, wanamuziki wanashindwa kuimba live, washindi hawana la kuongea zaidi ya kutuma salamu utadhani tupo kwenye kipindi cha kutuma salamu cha radio Tz. Bado tupo nyuma sana coz kasoro ndogondogo na za wazi zilikuwa kibao mpaka inaboa..
Mkuu sio sababu hiyo, tunapenda sana kuponda bila sababu
Tatizo shule.........hawa jamaa kazi yao ni kuuza sura tu,hawajui kujenga hoja kama watu muhimu katika jamii....