Kili Music Awards 2011

Kili Music Awards 2011

20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20% 20%20%
 
Tunzo ya msanii bora wa muziki wa kike ni JAY DEE na msanii bora wa muziki wa kiume ni 20%.....hii tunzi ndivyo ilivyoitwa
 
orait organisation ni mbovu, walitakiwa wafanye nn? We should be giving a constructive criticism..!
Kwa swala la stage
Kwanza wawafanyie rehesal washiriki wote wanaowania tuzo. Wafundishwe jinsi ya kupanda stejini, jinsi ya kupokea tuzo na jinsi ya kushukuru na wapewe limitation ya maneno ya kuzungumza.
Wanaotoa tuzo vilevile wapewe limitation ya kuzungumza.
Washereheshaji pia wapewe mafunzo ya namna ya kuaddress watu na kuendesha tukio.
Mwisho wanamuziki wote, wafundishwe namna ya kuvaa na kuwa presentable wakati wa kupokea tuzo. Namna ya kubehave on stage, jinsi ya kupokea tuzo. Kuna watu walikuwa wanagombea tuzo .Mfano Mapacha watatu na Mzee Yusuf. Mzee Yusuf amezungumza statement isiyokuwa na maadili ,kawaambia mapacha 3 " chukueni nyie, hata featuring niongee?"
Thats not the way of public speaking.
 
Huya jamaa anayepokea tuzo za lady jd ni nani? Atazifikisha kweli?
Hayo ndio mambo tunayozungumzia. How to behave on Stage! Hajajitambulisha kwamba yeye ni nani, anakwapua tuzo na kuondoka. Do we know u? How can we trust u?
 
Kwa 20% cna ubishi namkubali naona mwaka huu wameniridhisha hongera watanzania
 
Twenty percent yupo Juu, big up 20%, diamond,Ali kiba wamezidi kujipodoa na kupaka lipshine watoto wa kiume! 20% real men yupo simple na muziki anaujua!
 
ukiacha kwa 20% tu kulikobaki mhhh:embarassed2:,mziki wa Tanzania:rip::rip: kama waandaaji wakubwa hivi wanachakachua.
 
Huu ni mwaka wake 20%. Kama kawida yake hajatokea kupokea tuzo
 
kila cku 2taendelea kulalamika na vitu vcvykua na mcngi... Hao wamejitaidi leo kulinganisha na awards zote zilizopita, kuanzia kupga live band kushlikisha wasanii wa ndani 2 ktoa burudan na v2 vngne vingi.!! Ka mtashndwa kuwapongeza kwa hcho kdgo daima 2tabak nyma kila cku, ni bora 2kawapa moyo au ka vp anzisheni za kwenu 2zione.... Unakuta m2 ajapiga ata kula alaf ndo wakwnza kulalamika humu cjui unategemea nin
 
Back
Top Bottom