Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 8,750
- 14,315
Kili marathon
Nakimbiaga na Angel NylonUnakimbia wewe?
Naona hii ya Dar haina watu wengi.
Watu wanapenda kusafiri sana
Aione MahondawNakimbiaga na Angel Nylon
Kusanyiko lolote linalo husu pombe + jinsia mbili tofauti lazima vyupi vivuliweHuwa mnatumia kigezo gani kujustify hii kitu?
mkuu hii signature yako ni ukweli mtupu.Kabisa, kuna mzuka ile unaenda mbali...
mkuu hii signature yako ni ukweli mtupu.
Ya kufikishana kilelenii na extended relationshipsMa-ujinga yapi mkuu?
Mbona humshangai mtu anatoka Geita kwenda Dar kuangalia mpira tu,au utasemaje kwa huyu naye...?Hua nashindwa kuamini unatoka mkoa wako unaenda mkoa mwingine kwa ajili ya kukimbia tuu, lazima kuwe na sababu nyingine nyuma yake.
Kwamba unatoka Dar unaenda Dom ili ukimbie tuu kisha urudi Dar
Wote hao ndo wale wale tuuMbona humshangai mtu anatoka Geita kwenda Dar kuangalua mpira tu,au utasemaje kjwa huyu naye...?