Kili Marathoni Vs NBC Dodoma Marathoni Vs CRDB Marathoni

Kili Marathoni Vs NBC Dodoma Marathoni Vs CRDB Marathoni

Ipi ni Marathoni bora na yenye tija zaidi kwa Tanzania?

  • Kili Marathoni

  • NBC Dodoma Marathoni

  • CRDB Marathoni

  • Zote ni bora.


Results are only viewable after voting.
Nilichojifunza kwenye Kili Marathon na NBC Dodoma Marathon

Kwanza, Hawa wote wawili huwa wanatumia barua ( Official Letter) kwa Taasisi na Idara zote za Serikali ya JMT pamoja na Makampuni Binafsi Makubwa kuomba Wafanyakazi wao waweze kushiriki ukiwa pamoja na kuwalipia ada za ushiriki na posho za safari.

Ikumbukwe kuwa Taasisi za Serikali na Makampuni Wana Sera za Corporate Social Responsibility ( CSR) Kwahiyo kupitia fungu hilo la bajeti husaidia kuwawezesha watumishi wa Serikali na Makampuni Binafsi kushiriki.

Kili Marathon huwa anaonekana kinara kutokana Hana MPINZANI au mshindani wa biashara yupo Neutral lakini ukija kwa haya Mabenki kama imeandaliwa na NBC usitegemee Wafanyakazi wa Benki zingine kushiriki kwa maana hao wanaonekana ni washindani wao

Sasa kwa Upande wa NBC pia hamasa imetokana na ushiriki wao wa kufadhili ligi kuu ya Tanzania, ambao mashabiki wengi wa Moira wa miguu wamejitokeza na walioteka sehemu mbalimbali kwa sababu Dodoma ipo katikati ya nchi kwahiyo ni rahisi mashabiki wa Mpira wa timu mbalimbali kujichanganya na kukodi Coaster kutoka Tabora, Singida, Morogoro, Iringa, Tanga, Mbeya, Manyara, Arusha, nakadhalika kuweza kusafiri na kushiriki hiyo Marathon
Good Analysis mdau.
So hapo Kili ni super?
 
hii imejikita kwenye shughuli za kijamii kwa kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia sekta ya afya, ikiwemo huduma za afya ya mama na mtoto pamoja na magonjwa mbalimbali kupitia ushirikiano na taasisi za afya.
zikiwa na lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia huduma za afya kupitia CRDB Bank Foundation.
Kumbe kuna kulipia? Makampuni makubwa kama haya yanayofunga record profits kila mwaka yanafanya michango kwa ajili ya social responsibility?

Halafu mbona bolt hawajaja na marathon yao? Hizi marathon zinafaa sana kwa kampuni kama bolt kujitangaza.
 
Kumbe kuna kulipia? Makampuni makubwa kama haya yanayofunga record profits kila mwaka yanafanya michango kwa ajili ya social responsibility?

Halafu mbona bolt hawajaja na marathon yao? Hizi marathon zinafaa sana kwa kampuni kama bolt kujitangaza.
Labda wako kwenye mpango...
Nilifurahi bolt wamefika Unguja
 
Wakimbiaji wale wa ushindani ni wachache.
Zawadi mshind wa kwanza nadhani ni 15 Mill.

Sasa hawa wengne wanaenda kula bata.
Na baadhi ya Ofisi zinatoa ruhusa na posho kuhimiza wafanyakaz wao washiriki. Ila ni kama wasindikizaji.

Baada ya kusindikiza Wakimbiaji.
kinabakia ni Pombe, nyama choma na kunyanduana.

Ni kama Kijoint together flan hivi.

Na kama demu mnafanya nae ofisi moja . Mkifika kule mnachukua room moja. Kunachobaki ni Humu tu humu tu😊😊😊😊.

Niliwah kushiriki mara moja.
Nilipelekwa na ofisi.

Marathon is for having fan + Exercise + Get connected + Travel kuondoa stress + Staff like that.

Usiwe serious sana na maisha.
 
Back
Top Bottom