Andrew lugobi
Member
- Aug 7, 2016
- 50
- 40
Sawa sawa mkuuKuwa mpole kuna mambo nayaweka sawa kwanza kabla ya kuendelea
Sawa sawa mkuuKuwa mpole kuna mambo nayaweka sawa kwanza kabla ya kuendelea
SaaalaleeeeTuendelee....
Ukishuka pale kilindoni Mafia bandarini, hotel nzuri ya kwanza ambayo ni standard na bei yake ni nzuri ni IBIZA, Ni pazuri panafaa panavutia, nilifikia hapo na kuwasiliana na wana JF ambao ikiwapendeza watakuja wenyewe hapa ila kwasasa siwezi kuwataja bila ruhusa yao
Nililala Ibiza na kesho yake nikaenda visiwa vingine vilivyo karibu na mafia (nakumbuka nilitupia picha hapa bila watu wengi kujua huko ni wapi) nilishinda huko na kurejea mafia jioni ya siku hiyohoyo
Kwa bahati mbaya sana kufika Ibiza ikawa vyumba vimejaa, wapambe wa pm walikuwa wamebanana hapo kwakuwa ilikuwa ni kipindi kile Majaliwa yuko kule
Sikuwa pekeyangu niliyekosa chumba pale tulikuwa wengi, kuna gest nyuma tu ya Ibiza ila nayo ilikuwa full ya karibu vingine ilikuwa ni kama mwendo wa dk 15 na bei ilikuwa mbaya...wengi tulishindwa
Kufikia saa tano usiku tukapata kigesti change shilling 12000, vyumba sio self..nilikuwa na raia wengine wa nje tukachukua vyumba 4 kila mtu na chake
Hii gesti ilinishangaza sana
Ilikuwa ina harufu ya udongo mbichi uliochanganyikana na harufu ya ukale
Ilikuwa ni kama inaelea ukiwa ndani ni hisia isiyoelezeka
Taa zake zote zilikuwa hafifu sana
Kubwa kuliko yote ilipofika saa sita usiku(nilikuwa macho bado nafanya tahajudi)nikahisi kichwa kuvimba na nywele kusisimka..! Haikuchukua muda umeme ukakatika
Lakini pia kukawa na harufu kali ya mchele, nilichoropoka chumbani, hamad nafika kwenye korido nikamuona yule ndugu anaishia mwisho wa gesti, nilimtambua Kwa mavazi yake
Sawa. Sisi tupo hapa hapa, tunabarizi huku tunakusubiria. Ngoja nimuite@miss chagga anipigishe story wakati tunakusubiria!Itaendelea muda mfupi ujao kuna mambo yameingiliana kidogo
Kwa sababu unakataa ukweli ngoja niandae screenshot za hizo pm lukuki na nitazitupia hapa mda mfupi ujao!Uongo zambi![]()
![]()
![]()
Mshana ee...sitak niptwe na hii story.Ntajuaje kama unaendelea nayo?Au had nije nisearch tena?Kuwa mpole kuna mambo nayaweka sawa kwanza kabla ya kuendelea
kanuni ya kukubaliana kutokubaliana.![]()
![]()
baniani mbaya...lakini kiatu chake dawa...!
Ooh!Utakuwa umenitendea haki mkuuTakutag
Mwaka 2008, December, nikiwa mfanyakazi wa kampuni Fulani kubwa kuliko zote hapa tz ya uchimbaji wa madini aina ya dhahabu, kwa sasa inaitwa acacia janja janja ya ukwepaji Kodi angalia bio yangu as a mine engineer,@(underground) mshikaji wangu mmoja mussa alinipeleka huko gambosi nilipata kesi Moja tata sana!, mwendo wa masaa 2 toka magu MZA, tulitumia Massa 12 kwa bodaboda , nafika gambosi naulizwa!" Umefiwa na ndugu yako!!?? " "uliza huo mkwaju mkubwa utakujibu kama nduguyo Yuko hapa!" Nilichoka! Huo mkwaju uko pembeni ya shule ya msingi gambosi, na ukwaju wake huwa hauliwi! Nilishinda kesi kwa mazingira tata sana! Inaendelea...............!Kuwa mpole stay tuned...!
Duuuuh story ndani ya story.Mwaka 2008, December, nikiwa mfanyakazi wa kampuni Fulani kubwa kuliko zote hapa tz ya uchimbaji wa madini aina ya dhahabu, kwa sasa inaitwa acacia janja janja ya ukwepaji Kodi angalia bio yangu as a mine engineer,@(underground) mshikaji wangu mmoja mussa alinipeleka huko gambosi nilipata kesi Moja tata sana!, mwendo wa masaa 2 toka magu MZA, tulitumia Massa 12 kwa bodaboda , nafika gambosi naulizwa!" Umefiwa na ndugu yako!!?? " "uliza huo mkwaju mkubwa utakujibu kama nduguyo Yuko hapa!" Nilichoka! Huo mkwaju uko pembeni ya shule ya msingi gambosi, na ukwaju wake huwa hauliwi! Nilishinda kesi kwa mazingira tata sana! Inaendelea...............!