myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
FAIZA kama umeona ni uongo na umeandika ni uongo sawa, wako wanokubali uongo kuwa ni ukweli! waachie jukwaa,,,,,,,,,Hahahaha, si kila mada nnayochangia, upo sawa kabisa, lakini pale unapoletwa uongo utaniona tu. Kumbuka hilo, labda nisipaone.
FAIZA kama umeona ni uongo na umeandika ni uongo sawa, wako wanokubali uongo kuwa ni ukweli! waachie jukwaa,,,,,,,,,
FAIZAFOXY: una Tatizo kubwa LA kisaikolojia ila hujitambui tu, approach yako kwenye mada nyingi za watu inaonyesha kuwa unaitaji msaada kutoka Kwa mtaalamu wa kisaikolojia, unajifanya mjuaji sana wakati chenga tu!Muongo tu huyo hana lolote.
Kuna siku alikuja na picha humuhumu JF akidanganya kuwa kaipiga yeye hapo njia ya kwenda Ikulu, kumbe ile picha ipo kwenye mitandao kwa miaka kadhaa, nikamuumbuwa uongo wake kwa kuileta source nyingine kabisa ya ile picha, basi toka siku hiyo kajenga chuki kwangu.
Huu anaoleta humu ni uongo tu hajuwi lolote huyo.
Wajinga Ndiyo Waliwao.
FAIZAFOXY: una Tatizo kubwa LA kisaikolojia ila hujitambui tu, approach yako kwenye mada nyingi za watu inaonyesha kuwa unaitaji msaada kutoka Kwa mtaalamu wa kisaikolojia, unajifanya mjuaji sana wakati chenga tu!
Comment zako Kwa watu wengi ni za shali sana.
Unataka uonekane wewe ndo mjuaji sana hapa if.
Uwezo wako Kwa mshana Jr ni Mdogo sana hufiki hata robo. Unanikera sana kiukweli, wewe kichwani umejaza udini na upumbavu tu, kazi kudandia post za watu.
Unaonyesha chuki za waziwazi Kwa watu Kwa sababu uelewa wako ni Mdogo sana, unatafuta kiki kupitia post za mshana Jr we vipi!
Daah stori tamu ila fupi sana kaka. ila aksante kutujuza maana ulishafananishwa na nge nikapata mashaka.
Dah aisee km unaishi na mume bus kazi anayo, you don't have self determination.... Am out...
hahaha ngoja akuloge ndo ukome kumchukiawewe jamaa na story zako kilozi! sikupendi
hahahahaSasa wewe kama humpendi inauhusiano gani na hii story?halafu mshana Ana mke,hataki mke Wa pili
Tumechoka ujinga wako ndo maana tumeamua kukwambia, unamatatizo sana we mjane, tumekustili sana lakini bado ujielewi.= shari
Mkishindwa hoja mnaanza "udini".
Wapumbavu si unawajuwa? Au umesahu Mkapa alivyowapa live Jangwani?
Mengine yote ni mawazo yako binafsi na upo huru kutowa maoni yako kwenye hii "open forum".
Sasa tumia kichwa chako kufikiri japo "kiduchu" na si kukiwacha kama mzigo tu juu ya mabega yako, kama wewe upo huru kutowa maoni yako , jee kwanini iwe mwao kwa FaizaFoxy?
Ukipata jibu ya hilo swali la mwisho utajijuwa kuwa u punguani kiasi gani.
Anzisha Uzi wako uwaambie hao unaoita misukule uongo wa Mshana mbn mtaelewana tu.Ujumbe wangu unawahusu zaidi misukule. Huyo wala, maana yeye kishaamua uongo ndiyo jadi yake.
Si shule uliyosoma wewe.
Mada ipo "open forum" au haulewi maana yake?
Kuwa mwanamke kuna kupa tatizo? Ulifikiri mitandao imewekewa wanaume tu?
Wewe kwa hakika umesomea ujinga. No doubt.
anzisha uzi wako uuite 'habari za kweli' toa mada zako huko. utapata wa kwako..Naam, jukwaa ni la wote niwaachie kwani nimelikamata?
Hivi hizo shule mlienda kusomeaa ujinga?
Unajuwa=Unajua= shari
Mkishindwa hoja mnaanza "udini".
Wapumbavu si unawajuwa? Au umesahu Mkapa alivyowapa live Jangwani?
Mengine yote ni mawazo yako binafsi na upo huru kutowa maoni yako kwenye hii "open forum".
Sasa tumia kichwa chako kufikiri japo "kiduchu" na si kukiwacha kama mzigo tu juu ya mabega yako, kama wewe upo huru kutowa maoni yako , jee kwanini iwe mwao kwa FaizaFoxy?
Ukipata jibu ya hilo swali la mwisho utajijuwa kuwa u punguani kiasi gani.