Kile kipindi ambacho nilipotea


Si wewe.
 
jogi ukinisoma para ya pili nilisema kwamba nilipotea kwa takriban siku 23 hivi na kati ya hizo ni siku chache sana ndio nilikuwa nje ya Tanzania
Nilipotoka Nyamisati nikaenda Kibiti kwa siku moja , kisha nikarudi sehemu inaitwa Jaribu, hapa nilienda pia Njopeka Mkiu mpaka Kimanzichana, hili eneo kati ya Mkiu na Njopeka ndio kunajengwa kiwanda kikubwa sana cha vigae
Nilirudi Dar nikaunganisha Zenji kisha Tanga
 
Mshana unajua mijitu mirefu unajulikana kama Kabeba huko usukumani??? Acha huyo raster nyoko cha mtoto..! Huyo mdudu akitoa ushuzi uzinduki bila kupelekwa ukara(kisiwa wilayano ukerewe)
Hawa vidudumtu wawili wamebaki kuwa kichekesho cha karne! Nimewapa changamoto ya kuthibitisha uongo wangu, nimeweka na dau tena naongeza laki nyingine...! Wamebaki kurukaruka kama bisi kikakaangoni
ni aina fulani ya burudani yenye kutia kinyaa mtu anaposhindwa kuthibitisha madai yake na kubaki kupayuka payuka kushinda hata hayawani
 
huyo dogo anao shida areef achana naye we tupe mavitu, na wala hajalazimishwa kufungua uzi na kusoma, kiherehere tu kimemjaa.
Nitarejea Nyamisati nitaenda kote nilikoenda tena, na nitaleta habari zaidi, atskayesema ni uongo asiishie tu kutuhumu alete ukweli
 
DUNIA NI YA AJABU!! KAMA MTU HAAMINI HII HABARI AENDE KWENYE HABARI INGINE, KWANINI KUKOMAA "UONGO UONGO" WAKATI HABARI ZIKO NYINGI JF, ACHENI WENGINE WAFURAHIE HABARI HIZI, KILA MTU ANA UHURU WA KUCHAGUA AMA AKUBALI AMA AKATAE HII HABARI, SIO KUBISHANA NI KWELI AU UONGO,,,MIMI SIJAFIKA MYAMISATI LAKINI ANAEBISHA AENDE AJE ATUAMBIE YA KWAKE.
 
Huu ndio aina ya usafiri wa Nyamisati kwenda Mafia
 

Kwa maandishi yako tu unaonesha jinsi ulivyosomea ujinga.
 
Nitarejea Nyamisati nitaenda kote nilikoenda tena, na nitaleta habari zaidi, atskayesema ni uongo asiishie tu kutuhumu alete ukweli

Usisahau kuwa Nyamisati ipo, tena ni karibu sana na kwetu kwa asili.

Hizo hadithi za kitoto chini ya mwembe usiku huku tumewasha moto tunapiga porojo kutishana, hususan tulipopata mapumziko shule tuliokuwa tukisoma jijini.

Hatudanganyiki.
 
Kaka mshana jr unge update kutokea kwenye post hii mtiririko ungekuwa mzuri zaidi.
Paw, Moderator wa jukwaa Hili naomba mumsaidie mshana jr kwa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…