Kila siku nasikia jamii forum jamii forum

Ruksa. Ila uweke ile niliyopaka wanja kwa style ya 'sina bwana' na kope kama ufyagio. Ile niliyovaa kimini ngoja kwanza mfungo upite.

aah mimi huwa naipenda hii...
kingast1.jpg
 
aah mimi huwa naipenda hii...
View attachment 62319

Yeh hii utoto ya A Free Car Bwana halafu na hapo nyuma kabambataa cha kishaji sio yale ya kwenu makuubwa. Kumbe hayana faida zaidi ya kutoa uchafu mwilini. na pia raha nyingine ni yakiwa yamevishwa nguo sio unayashangilia wakati ukienda 6x6 huyafanyi chochote
 
Aaah, hii wakati ule sijaacha kuvuta bhange banaaa. Afu hayo mabega utamuharibia Asprin swaumu yake bibi amnyime kufuturu ile futari ya wakubwa buree

Kumbe ASPRI kafunga ndio maana siku hizi hata maumivu ya kichwa hawezi kuzuia
 
Last edited by a moderator:
unajuaje kama na mimi nataka nikutokee?

acha kuingiliana issue za wenzako bana kwani hakuna wengine wewe unaona kabisa ndiyo anakuja kuja kwangu umeanza kuweka kigiza chako, tafadhali niachie angalau weekend hii nitese nae...
 
Haya ila kumbuka kuna kale kapost kengine cha supu ya pweza na Konyagi mwambie apite kule apate ushauri ili aweze kukushughulikia ipaswavyo. akishindwa tu napiga supu ya pweza na konyagi kama utarudi tena kwake yaani nikikwambia
 
lakn hyo appearence on scrn n fb co jf cjui ny mnaonaje!! O zote sawa

Sikipendi kingereza chenu hicho!?, basi tu! sijui ni huu ualimu wa communication skills ndo unanifanya hivi!? yaani nikiona mtu kaandika kama wewe hivyo najisikia kichefuchefu balaa!! Mnisamehe
 
Mkuu haiitaji kuwa mwalimu wa communication skills kukereka na hivi vifupisho vya ajabu ajabu.
Mi nlidhani huwa vinatumika ZAIDI kwa wanafunzi wa sekondari pekee, kumbe mpaka graduates wanatumia vifupisho hivi.
Kuwa mkweli huwa inanichukuaga mda kuanza kunyumbulisha vijineno hivyo
 
Yeh hii utoto ya A Free Car Bwana halafu na hapo nyuma kabambataa cha kishaji sio yale ya kwenu makuubwa. Kumbe hayana faida zaidi ya kutoa uchafu mwilini. na pia raha nyingine ni yakiwa yamevishwa nguo sio unayashangilia wakati ukienda 6x6 huyafanyi chochote

Kwa comment hiyo hapo juu, wala uishangaike kunitokea. Mie niko ligi nyingine kabisaa, maliza shule kwanza usichezee ada ya mzazi wako. Mungu hapendi.

unajuaje kama na mimi nataka nikutokee?
 
unajuaje kama na mimi nataka nikutokee?

acha kuingiliana issue za wenzako bana kwani hakuna wengine wewe unaona kabisa ndiyo anakuja kuja kwangu umeanza kuweka kigiza chako, tafadhali niachie angalau weekend hii nitese nae...

Haya ila kumbuka kuna kale kapost kengine cha supu ya pweza na Konyagi mwambie apite kule apate ushauri ili aweze kukushughulikia ipaswavyo. akishindwa tu napiga supu ya pweza na konyagi kama utarudi tena kwake yaani nikikwambia

Mabigi! Msiniharibie swaumu yangu. Mnataka kunigawana kama vazi la Yesu wa Nazareth!
naona mmechoka kukaa jf, am just saying!
 
Kwa comment hiyo hapo juu, wala uishangaike kunitokea. Mie niko ligi nyingine kabisaa, maliza shule kwanza usichezee ada ya mzazi wako. Mungu hapendi.

Hahahahaha lol.... King'asti wewe khaaa.....kwani yuko form ngapi vile?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom