Kila siku nasikia jamii forum jamii forum

Punguza munkari mke mwee shemeji Paw anamalizia uji!

Na nimemuwekea pilipili ya kumalizia mfungo. Si unajua shughuli yake eeh? Watoto wenye mafua hawa ntapeleka wapi mie, akhuu! Akatafute eda pengine, sio hapa.

Ushaletewa nguo ya sikukuu?
 
Unihongere na mie kwa kukubali kutulizika. Ita takes two atii, lol.
ukuwe na eid njema

Haya hongera na wewe lol.......ukuwe na eid njema pia mpendwa ingawaje mie sijapenda mwezi kuonekana leo......nilitamani eid iwe j3 na j4 lol!
 
Haya hongera na wewe lol.......ukuwe na eid njema pia mpendwa ingawaje mie sijapenda mwezi kuonekana leo......nilitamani eid iwe j3 na j4 lol!

Taifa changa mke mwenza, ngoja tulijenge wenye meno wale. Wakikosa chakula watatuwinda buree
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom