Unapeleka maneno tanguliza cash uone kama watoto hawafurahiKweli kabisa lakini Kuna muda mm Kama kijana natamani niwe kwenye mahusiano lakini Kila nikijitahid kumfuata msichana nimpendae ndo ivo wengne dharau nying
Hakuna maisha mabaya hata kwetu sisi wanawake kama ya kukosa pesa yako hata shilingi mia🥺🥺maisha hayo nimabaya mno maana kila mtu atakudharauChakori kumbe tukiwa na pesa mta tuheshimu mta acha kutuchoma na petrol.
Mwenzenu na mwaka wa nne sasahiv ..Kila msichana ninaemfuata Mimi hajawai kunikubalia na wengine wananikataa kwa dharau Sana ....alafu wasichana ninaowafuata no wakawaida mno ...mwanzoni niliona kawaida Ila sasahiv naona Kama ni tatizo .....naomba ushauri wenu
Sasahapo nafanyaje ili kutatua hili tatzo maana sasahiv limekua tatizo kwangu....lakini hapo nyuma mambo yalikua Safi ili limeanza 2017
PesaHaya kunywa maji kwanza
Tafuta pesa ndugu yangu.wanawake wengi tuna dharau.
Tatizo lako badala ya kutongoza na kuchorombeza tuvitu vitu vidogo vidogo unaenda dairekti unaomba ile kitu inamesa menzie hata kama mi mimi mwanamke nakutoa baruMwenzenu na mwaka wa nne sasahiv ..Kila msichana ninaemfuata Mimi hajawai kunikubalia na wengine wananikataa kwa dharau Sana ....alafu wasichana ninaowafuata no wakawaida mno ...mwanzoni niliona kawaida Ila sasahiv naona Kama ni tatizo .....naomba ushauri wenu
Unatumia au unamiliki???Pikipiki na gar natumia Sana ...but na mwaka Sasa niliokataa tamaa ya kumuapproach msichana yoyote
Mwenzenu na mwaka wa nne sasahiv ..Kila msichana ninaemfuata Mimi hajawai kunikubalia na wengine wananikataa kwa dharau Sana ....alafu wasichana ninaowafuata no wakawaida mno ...mwanzoni niliona kawaida Ila sasahiv naona Kama ni tatizo .....naomba ushauri wenu
Wewe unataka mahusiano gani? Hebu nenda baa kalewe tongoza muhudumu uanze nae mahusiano nazani mahusiano mengine yatafuataKama maji nishakunywa sana...muda mwingne nakubali situation lakini muda mwingne mm Kama kijana nahitak kuwa kwenye mahusiano