Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

Kweli kabisa lakini Kuna muda mm Kama kijana natamani niwe kwenye mahusiano lakini Kila nikijitahid kumfuata msichana nimpendae ndo ivo wengne dharau nying
Unapeleka maneno tanguliza cash uone kama watoto hawafurahi
 
Mwenzenu na mwaka wa nne sasahiv ..Kila msichana ninaemfuata Mimi hajawai kunikubalia na wengine wananikataa kwa dharau Sana ....alafu wasichana ninaowafuata no wakawaida mno ...mwanzoni niliona kawaida Ila sasahiv naona Kama ni tatizo .....naomba ushauri wenu

Pole,Jiamini.Ukimfuata Mwanamke usimuonyeshe kama una shida sana naye.Na sio unatongoza tu papo kwa papo!..Kuwa Muungwana,jifunze kutabasamu na kujipenda,Fanya Mazoezi.Toka out na washkaji.Kama una Rafiki mtu wa totoz kaa naye karibu ukopi swaga zake.Ongeza kipato na usiwe Mchoyo kwa mabinti.
Ukishindwa Mwambie Dada yako akutafutie mwanamke uoe,kawaida tu.
 
Kula makahaba kunywa pombe Kula vizuri jijenge kiuchumi usiache kumuomba Mungu achana na wanawake watakufilisi wengi wapo kimaslai kupata mwanamke mwenye utu ni kazi
 
Au kuna demu ulimtosa akakuendea kwa sangoma?
Sasahapo nafanyaje ili kutatua hili tatzo maana sasahiv limekua tatizo kwangu....lakini hapo nyuma mambo yalikua Safi ili limeanza 2017
 
Mwenzenu na mwaka wa nne sasahiv ..Kila msichana ninaemfuata Mimi hajawai kunikubalia na wengine wananikataa kwa dharau Sana ....alafu wasichana ninaowafuata no wakawaida mno ...mwanzoni niliona kawaida Ila sasahiv naona Kama ni tatizo .....naomba ushauri wenu
Tatizo lako badala ya kutongoza na kuchorombeza tuvitu vitu vidogo vidogo unaenda dairekti unaomba ile kitu inamesa menzie hata kama mi mimi mwanamke nakutoa baru
 
Mwenzenu na mwaka wa nne sasahiv ..Kila msichana ninaemfuata Mimi hajawai kunikubalia na wengine wananikataa kwa dharau Sana ....alafu wasichana ninaowafuata no wakawaida mno ...mwanzoni niliona kawaida Ila sasahiv naona Kama ni tatizo .....naomba ushauri wenu
 
Kama maji nishakunywa sana...muda mwingne nakubali situation lakini muda mwingne mm Kama kijana nahitak kuwa kwenye mahusiano
Wewe unataka mahusiano gani? Hebu nenda baa kalewe tongoza muhudumu uanze nae mahusiano nazani mahusiano mengine yatafuata
 
Hii thread nmeiona huku kichwan nkiwa na jambo fulani hv related to dis issue
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom