fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 12,761
- 22,370
Mdomo haunuki kwanza ....? n
Jokes tu
Jokes tu
Huko mbona mbali mno? Usiwe mchoyo? Unaelewa ulichoandika?Pole,Jiamini.Ukimfuata Mwanamke usimuonyeshe kama una shida sana naye.Na sio unatongoza tu papo kwa papo!..Kuwa Muungwana,jifunze kutabasamu na kujipenda,Fanya Mazoezi.Toka out na washkaji.Kama una Rafiki mtu wa totoz kaa naye karibu ukopi swaga zake.Ongeza kipato na usiwe Mchoyo kwa mabinti.
Ukishindwa Mwambie Dada yako akutafutie mwanamke uoe,kawaida tu.
Yeye anamaanisha 'demu', wewe ni mama mtu mzima, lea wajukuu. Mada hii haikuhusu kwani unaonekana umeshavuka ujana!Haya kunywa maji kwanza
Tafuta pesa ndugu yangu.wanawake wengi tuna dharau.
Kuna kitu hujaweka sawa hapa. Unatafuta mke ama unatafuta wa kupunguza kichupa? Mke kidoooooogo, naweza kukuelewa kuwa ni changamoto, tena yenyewe pia inahitaji tufanye utafiti. Lakini, wa kupunguza kichupa tu? Hapa haiiingiii akilini bwana! Labda siyo Tz hii ninayoijua.Mwenzenu na mwaka wa nne sasa hivi. Kila msichana ninayemfuata mimi hajawahi kunikubalia na wengine wananikataa kwa dharau sana halafu wasichana ninaowafuata ni wakawaida mno. Mwanzoni niliona kawaida ila sasa hivi naona kama ni tatizo.
Naomba ushauri wenu.
Tena mke wake ni mzungu na walizaa nae yupo mpaka leo..Tafuta hela afu acha ulokole mbona utawapata ka wote
Remi ongola mwenyew alikuwa na mademu kibao
Auko peke yako umewakilisha asilimia Kama siyo 60 basi ni 55 ya vijana wakitaaKweli kabisa lakini Kuna muda mm Kama kijana natamani niwe kwenye mahusiano lakini Kila nikijitahid kumfuata msichana nimpendae ndo ivo wengne dharau nying
Yeye anamaanisha 'demu', wewe ni mama mtu mzima, lea wajukuu. Mada hii haikuhusu kwani unaonekana umeshavuka ujana!
Njoo nikupe dawa ya kutoa gundu mkuuSio kwamba Sina kitu...vipesa vipo vipo ..Kuna muda nilikua smart mno na pesa ninayo lakini wap
HaaahaaahaaVip unamiliki hata gari au pikipiki ?
Madem mbona wapo kibaoo ,kama upo DSM tafuta uswaz ,ukishawapa chips kuku tayari
Haya kunywa maji kwanza
Tafuta pesa ndugu yangu.wanawake wengi tuna dharau.
Mimi sielewagi kabisa mtu anayesema anakataliwa na mademHaaahaaahaa
Jus kiepe yai