Huyu binti kila anapolewa anawashwa kufanya mapenzi

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Nilikutana naye kwenye usafiri wa umma mida ya night ya siku X. Baada ya kumrushia voko alielewa, basi ndo ukawa mwanzo wa mahusiano

Kesho yake nilimuomba tukutane kwenye Bar X ili tupoze makoo yetu. Sikuwa na wazo la eti nifanye naye mapenzi kwa kuwa niliona ni mapema mno. Alivyotwanga bia ya 7 nikaona anaanza kubadilika na kukaa mikao ya ajabu ajabu, akilegeza sana sauti, kunitazama kilegevu huku akijipapasa papasa. Alivyoongeza bia moja ustahimilivu ulimshinda ikafikia wakati anapapasa dushee. Nikiwa katika hali ya sintofahamu nikaruka mfukoni kutazama balance, kisha nikamrusha Guest nikachakata mbususu japokuwa nilichakata kana kwamba nachakata mfu

Basi bhana ikawa kawaida yangu. Tunakutana bar akiwa malaika, akilewa anakuwa Shumileta. Jana jioni nilimuomba tukutane kwenye kijibar X mida ya saa 12. Kutokana na majukumu ya hapa na pale nikapata dharura, alikuwa hapokei simu bali kujibu tu text tena kwa ufupi sana. Nilimsisitiza anisubiri mpaka nitakaporejea. Mida ya saa mbili nikawasili kwenye ile bar na kumkuta akiwa kakaa meza moja na wanaume wawili hivi wazee wa vyuma

Sikuwa na papara, nikaamua kuvuta kiti pembezoni kabisa mwa kona ya bar, nikapata moja moto huku nikitazama mrejesho muda huo namtext pasi na kujibiwa, kupiga simu yake inakuwa busy. Mida ya saa nne hivi nikashangaa anapapasa dubwasha la mmoja kati ya wale wanaume. Mmoja wao akainuka na kutokomea kwenye kona, dakika kumi baadae alirejea akiwa na bajaj, wote watatu waliruka ndani ya Bajaj hiyo na kutokomea kusikojulikana

Leo asubuhi nimejikuta nimezungukwa na chupa za take away ambazo nilizijaza bia usiku wa jana huku zote zikiwa empty kabisa. Nimekuta text zake zaidi ya 10 ila sijajibu kitu. Tayari nimekwishavunja mahusiano

Wanawake ni wauaji. Homa ya mapenzi inaua asikwambie mtu, japo mapenzi yetu hayana hata siku 15
 
Hahaha acha watu wafaidi mzigo. Miezi kadhaa nyuma nilirudi wilayani kwangu kutembea kidogo.

katika pitapita kuwapa wana salamu kuna demu namleteaga pigo za kumtaka kila nikiwa wilayani namuona ila anachomoa sana. Basi nikamrushia maneno naye akanasa tukakubaliana akitoka kazini nimchukue tukaenjoy moshi basi ikawa kama tulivyopanga. Tukaenda akala beer japo mm sio mfuasi wa pombe nikajikamatia dompo, mpaka tunarudi asubuh nimechangamka sana.

Nimerukanae majoka mfululizo siku 5 kila akifunga lazima anicheki. Siku naondoka nikasema niende nikamuage kazini kwake kufika nakuta yupo kaunta kashikiliwa kiuno na manager aliponiona akastuka kidogo halafu akanifuata nilipokaa tukala stori nikamnunulia beer mbili akajipoza nikamuaga akaniambia huondoki bali unaamua kuniacha kisa umeniona na meneja nikacheka sana cha ajabu ananiambia nimpeleke kwake akabadili anipe cha kuondokea aloo nikaona hii miyeyusho kweli.

Madem wanaokunywa pombe wengi hawajui kubana nyama. Kwa akili ya kawaida dem niwamanager ila ndio hivyo safari ya moshi ikamtoa akili akaamua kupinduka na mm nikisepa meneja anaendelea kujipigia
 
Wanawake wa bar ni malaya. Mwanamke anayejiheshimu na kujielewa hashindi bar

Hiyo heading omba mods warekebishe isomeke;

Huyu malaya kila anapolewa anawashwa kufanya mapenzi
 
Next time mleweshe Kwa pombe kali kurahisisha michakato. Mie Malaya walevi nawapaga vikali tu
 
Ukifikiria mtungo alio pewa🤣🤣🤣🤣 lazima udate plus wote wawili wa mwagie ndani alooooo😁😁😁😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

Pole japo sijasahau id yako kuwa ww n storyteller km wengne.
 
Nilikutana naye kwenye usafiri wa umma mida ya night ya siku X. Baada ya kumrushia voko alielewa, basi ndo ukawa mwanzo wa mahusiano

Kesho yake nilimuomba tukutane kwenye Bar X ili tupoze makoo yetu. Sikuwa na wazo la eti nifanye naye mapenzi kwa kuwa niliona ni mapema mno. Alivyotwanga bia ya 7 nikaona anaanza kubadilika na kukaa mikao ya ajabu ajabu, akilegeza sana sauti, kunitazama kilegevu huku akijipapasa papasa. Alivyoongeza bia moja ustahimilivu ulimshinda ikafikia wakati anapapasa dushee. Nikiwa katika hali ya sintofahamu nikaruka mfukoni kutazama balance, kisha nikamrusha Guest nikachakata mbususu japokuwa nilichakata kana kwamba nachakata mfu

Basi bhana ikawa kawaida yangu. Tunakutana bar akiwa malaika, akilewa anakuwa Shumileta. Jana jioni nilimuomba tukutane kwenye kijibar X mida ya saa 12. Kutokana na majukumu ya hapa na pale nikapata dharura, alikuwa hapokei simu bali kujibu tu text tena kwa ufupi sana. Nilimsisitiza anisubiri mpaka nitakaporejea. Mida ya saa mbili nikawasili kwenye ile bar na kumkuta akiwa kakaa meza moja na wanaume wawili hivi wazee wa vyuma

Sikuwa na papara, nikaamua kuvuta kiti pembezoni kabisa mwa kona ya bar, nikapata moja moto huku nikitazama mrejesho muda huo namtext pasi na kujibiwa, kupiga simu yake inakuwa busy. Mida ya saa nne hivi nikashangaa anapapasa dubwasha la mmoja kati ya wale wanaume. Mmoja wao akainuka na kutokomea kwenye kona, dakika kumi baadae alirejea akiwa na bajaj, wote watatu waliruka ndani ya Bajaj hiyo na kutokomea kusikojulikana

Leo asubuhi nimejikuta nimezungukwa na chupa za take away ambazo nilizijaza bia usiku wa jana huku zote zikiwa empty kabisa. Nimekuta text zake zaidi ya 10 ila sijajibu kitu. Tayari nimekwishavunja mahusiano

Wanawake ni wauaji. Homa ya mapenzi inaua asikwambie mtu, japo mapenzi yetu hayana hata siku 15
Eti

Basi bhana ikawa kawaida yangu. Tunakutana bar akiwa malaika, akilewa anakuwa Shumileta.

Chips funga huyo a. k. a cha wote achana nae hakuna Mali Safi hpo
 
Yani we demu umtongoze jana halafu leo ugonge na bado unalia wivu wenzako pia wakigonga? na hapo ni kwamba hujampeleka bar ile usiku uliokutana nae tu laa sivyo ungekula usiku uleule.

Hamna mpenzi hapo, huyo ni mshirika mwenza tu wa ngono! yani cha wote huyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom