Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho

Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho

Mkuu....
Kama jinsia yako ni me, jichunguze labda sehem zako za makalio zimnona....
Sasa, wadada wanakushangaa kwamba mwanaume umeumbika. Na wakaka wana kutamani.
Nawaza tu....
Naona wengi mnakazia pengine nina kalio kubwa, ukweli ni kuwa mimi ni flat.....nikivalia suruali haitengenezi curve.
 
Nimeuliza watu kama nina kasoro but hakuna aliyesema ndiyo.Kingine hata watu tusiofahamiana wananishangaa.
Mkuu....
Kuna kasoro zingine ukiambiwa na mtuwako wa karibu, unaweza ukarusha ngumi.....
Kwamfano kama umevimba chini ya kiuno kwa nyuma....
 
Unataka kutuambia wewe ni mzuri auuuu!! Haiwezekani watu wakushangae tuu bila sababu, ni pm pic yako nikuambie tatizo liko wapi
 
Unataka kutuambia wewe ni mzuri auuuu!! Haiwezekani watu wakushangae tuu bila sababu, ni pm pic yako nikuambie tatizo liko wapi
Mama yangu aliwahi kuniambia mimi ni mzuri, so tangu siku hiyo naamini hivyo.
 
Mkuu....
Kuna kasoro zingine ukiambiwa na mtuwako wa karibu, unaweza ukarusha ngumi.....
Kwamfano kama umevimba chini ya kiuno kwa nyuma....
Kwenye kampani yangu kuna watu ambao tunaelewana sana.Issue kama hiyo wangeshaniambia longi sababu maisha yetu ni utani na masihara mwanzo mwisho.
 
Wakuu wa baraza heshima kwenu,

Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho kupita kiasi. Niwe mitaani, barabarani, sokoni au sehemu yoyote watu wananishangaa bila kujua nini sababu. Watoto, wazee, watu wa rika langu, watu wazima na wa jinsia zote wamekuwa wakinikodolea macho sana. Wengine wanakodoa kwa kujificha na wengine waziwazi.

Nashtushwa na hiyo hali cause nikipita sehemu na kuwa kama mzimu uliofufukia kwenye mtaa uliozikwa kutokana na jinsi wanavyonishangaa. Sometimes inanilazimu kuingia chimbo kujikagua kama zipu ipo sawasawa au ndege ameninyea bila kujua ila najikuta nipo sawa. Nimevumilia ila nikaona si vibaya kuja kuuliza nini sababu ya watu kuwashangaa watu wengine pindi wawapo kwenye mishe mishe zao? Kama umewahi kumkodolea macho mtu mwingine sababu inakuwa ni kitu gani?

Asanteni!
Kama ni mwanaume inawezekana una umbo la kike( hips) watu wanashindwa kujizuia kukutazama
 
Wanashangaa kukuona kitaa wakati uliaga unakwenda 'mbele' kucheza pono..
Ehee hivi ndo hyu aliandika thread amepata fursa ya kwenda nje kucheza porno Kama ndie yeye alafu yupo hko nje hao wanaomuangalia watakua washamuona kwenye action na kama yupo mjin watu watakua wanashangaa kumuona Bado yupo
 
Huenda umevalishwa K usoni na wachawi bila wewe kujijua dunia ina mambo bibi! watu wa rika zote wakushangae wewe tu tena wengine wakikuangalia kwa kujificha lazima kuna kitu kama hicho kama si hicho probably huwa unatoka kwako ukiwa umevaa chupi kichwani badala ya sehem husika bila kujijua muone Mshana jr fasta.
 
Post ya mwendokasi!
 
Back
Top Bottom