Kila nikisoma baada ya masaa 24 nasahau

Kila nikisoma baada ya masaa 24 nasahau

We jamaa kilaaaza kisenge

Ila nakushauri uwe unakula sana matunda kama vile maparachichi,ndizi,nyanya,na machungwa

Pia jitahidi uwe unakula chokolate

Na pia wakati wa kusoma uwe una chupa ya maji ya kunywa pembeni na ikiwezekana uwe unatafuna big G zitakusaidia sana kuimarisha ufahamu

Pia jitahidi uwe unafanya mazoezi ili kuongeza msukumo wa damu mwilini na jitahidi uwe unapata fresh air ili kuimarisha ubongo

Pia jitahidi ucheze brain games kama vile puzzle na sudoku
Ushauri mzuri ila kwa nini uanze na matusi?! JF home of great thinkers
 
Soma kwa mpangilio,
kwanza unapanga ratiba kila somo au masomo na siku yake kasoro hesabu,hesabu ukisha soma masomo mengine unatenga kama nusu saa hivi ya kuolve hesabu ukisoma hesabu kama unavyosoma History au biology itakushinda
ukisha panga ratiba kila somo chagua topic ya kusoma au sub topic kama ni ndefu sana hiyo topic punguza usome nusu nusu siku nyingine,Usisome mambo meeengi unaweza soma vitu viwili ila usivisahau ukisoma masomo tofauti tofauti alafu mambo mengi kama ulivyoweka hayo ma vitabu hapo lazima usahau maana husomi kwa mpangilio,
Pia usilazimishe kama kichwa hakiko poa au hujisikii kusoma,kama hujisikii kusoma fanya hata discusion na jamaa zako au solve maswali utakuwa poa,Usisome ili watu wajue unasoma soma ili uelewe na usisome kwa kukariri somakwa kuelewa
 
Shukran mkuu
 
Habari zenu,
Jaman tatizo langu ni kwamba kila nikijisomea madaftari baada ya masaa 24 nasahau nilichokisoma lakin ikifika siku ya mtihani kumbukumbu zinarudi.
4605c4cc8f6cbaab489e3f0b39b57343.jpg

Je hili tatizo linasababishwa na nini?
Je nifanyaje ili niwe nakumbuka kila mara nilichojisomea.

Asanten

Itakuwa ni wanafunzi wenzako wanakuchezea machezo Ila ni wale wachawi kusoma unasoma wewe lakini yanaingia kwake
 
Habari zenu,
Jaman tatizo langu ni kwamba kila nikijisomea madaftari baada ya masaa 24 nasahau nilichokisoma lakin ikifika siku ya mtihani kumbukumbu zinarudi.
4605c4cc8f6cbaab489e3f0b39b57343.jpg

Je hili tatizo linasababishwa na nini?
Je nifanyaje ili niwe nakumbuka kila mara nilichojisomea.

Asanten
Sasa Kama kumbukumbu zinarudi kipindi cha mtihan una hasara gani?
 
  • Blueberries. "Brainberries" is what Steven Pratt, MD, author of Superfoods Rx: Fourteen Foods Proven to Change Your Life, calls these tasty fruits. ...
  • Wild salmon. Deep-water fish, such as salmon, are rich in omega-3 essential fatty acids, which are essential for brain function, says Kulze. ...
  • Nuts and seeds. ...
  • Avocados.
0b10dd70c3563cd5758f5ceb6b623a58.jpg

Aina hiyo ya chakula wataalamu wanasema ni nzuri kwa ubongo wako.
 
Habari zenu,
Jaman tatizo langu ni kwamba kila nikijisomea madaftari baada ya masaa 24 nasahau nilichokisoma lakin ikifika siku ya mtihani kumbukumbu zinarudi.
4605c4cc8f6cbaab489e3f0b39b57343.jpg

Je hili tatizo linasababishwa na nini?
Je nifanyaje ili niwe nakumbuka kila mara nilichojisomea.

Asanten

Kwanza hata wenzako wanakushangaa.

Kosa la kwanza, umejiita mpalestina. Wapalestina wengi ni walemavu wa akili. BAdili hilo jina.

Pili umeongezwa mchizi. UKishakuwa mchizi huchagui uchizi. Uchizi wako unaokudandia unaanza kwenye kukamata kumbukumbu zako. Muda si mrefu utajikuta unasahau kuvaa na hata kusahau nyumban ikwenu. Acha kabisa majina ya kishetani kwa kudhani ni sifa.

Tatu, yawezekana unasoma vitu vingi kwa wakati mmoja wakati akili yako haina uwezo wa kukamata vitu vyote kwa mpigo, hivyo badala yake unapoteza. Jitahidi kuwa systematic katika kusoma lakini pia uwe na muda wa kutafkari uliyoyasoma na kama hujaelewa, utafute kuyaelewa badala ya kukariri.

Nne, yawezekana unakuwa darasani lakini akil i ziko mahala pengine ka ma Jf, michezoni, au hata katika masuala ya nyumbani, mahusiano n.k. Punguza uzingativu wa masuala yasiyo muhimu. Ondoa kichwani utitiri aw mambo masomo yawe kipaumbele chako. Vinginvyo unajichanganya.

Tano acha kusikiliza hadithi za wapotoshaji, walioshindwa shule na uache kukatishwa tamaa na watu kama bashite waliopanda gazi bila elimu. Ujue hata huyo bashite, hajisikii vizuri kuona anavurunda kila wakati. Elimu ni ufunguo wa maisha. Usikatishwe tamaa na hali ya uchumi ama mazingira uanyoyoana ya kukosa ajira n.k. Elimu itakfungua akili zako kufanya mambo mbadala kwa ufasaha na ufanisi hata kama milango mingine itakuw aimefungwa. Usipotoshwe na marafiki failures wanaokuvunja moyo. Hao ni washindwaji na hawapashwi kuwa walimu wa maisha yako. Fainali uzeeni.

Sita, jaribu kupata muda mzuri wa kutulia, kucheza michezo, kula chakula kwa muda muafaka na kulala. Mwili unahitaji balance ya vitu vingi. Usidhani kusoma mfululizo ndiyo kufahamu. Unasoma lakini pia unapata muada wa kupumzisha akli ikiwemo muda sahihi wa kulala. Panga ratiba yako vizuri.

Saba jizoeshe kula mlo uliosahihi kwa umri wako. Kuna chakula kingi sana kinauwezo wa kuimarisha mifumo y akumbukumbu kama ufuta n.k.

Lakini kubwa kuliko Yote, usisahau kuomba kwa Mungu ili azifanikishe njia zako. Kumcha Bwana Mungu, kwa njia ya Yesu Kristo ni chanzo cha maarifa. Kwa heri, wengine waongezee.
 
shukran sana mkuu Tabby
 
Nimetazama age yako, umri umeenda sana ushakua kibabu. Halafu occupation yako ni pusher so ukimix ndumu na uzee lazima utasahau hata mkono wako wa kushoto au kulia usijue ni upi!!
 
Back
Top Bottom