Kila nikisoma baada ya masaa 24 nasahau

Kila nikisoma baada ya masaa 24 nasahau

Acha Kukremu Badala Yake Soma Kwa Uwelewa (Ufahamu)...
Yap...This is the best advice.
Soma kwa kuelewa sio kukariri sababu kama umekielewa kitu basi ni vigumu kusahau haraka hvyo ila kama umekariri si ajabu ukatoka nje ukakutana na tukio la ghafla likakushughulisha ukajikuta umesahau kila kitu
 
Habari zenu,
Jaman tatizo langu ni kwamba kila nikijisomea madaftari baada ya masaa 24 nasahau nilichokisoma lakin ikifika siku ya mtihani kumbukumbu zinarudi.
4605c4cc8f6cbaab489e3f0b39b57343.jpg


Je hili tatizo linasababishwa na nini?
Je nifanyaje ili niwe nakumbuka kila mara nilichojisomea.

Asanten

Kasikilize wimbo wa chumba cha mtihani wa nura sijui na nani yule
 
Ukijiona unakumbuka kuwa umesahau ulichosoma, BASI JUA HUNA TATIZO, MAANA UNA KUMBUKUMBU.... kwamba umesahau.... TENA UZURI ZAIDI UNAYAKUMBUKA ULIYOYASAHAU PINDI UNAPOKUWA KWENYE CHUMBA CHA MTIHANI...

Wenzio w=huwa wanasahau yote wanapoingia kwenye chumba cha mtihani...

BY THE WAY, KUKUMBUKA KITU WAKATI HUNA KAZI NACHO MUDA HUO, KUNA FAIDA GANI?
Ngalikihinja
 
Back
Top Bottom