Kila nikisoma baada ya masaa 24 nasahau

Kila nikisoma baada ya masaa 24 nasahau

We jamaa kilaaaza kisenge

Ila nakushauri uwe unakula sana matunda kama vile maparachichi,ndizi,nyanya,na machungwa

Pia jitahidi uwe unakula chokolate

Na pia wakati wa kusoma uwe una chupa ya maji ya kunywa pembeni na ikiwezekana uwe unatafuna big G zitakusaidia sana kuimarisha ufahamu

Pia jitahidi uwe unafanya mazoezi ili kuongeza msukumo wa damu mwilini na jitahidi uwe unapata fresh air ili kuimarisha ubongo

Pia jitahidi ucheze brain games kama vile puzzle na sudoku
bila kusahau na sokoban!! hapa ndipo atakapojua kuna magemu ni konyo!
 
Habari zenu,
Jaman tatizo langu ni kwamba kila nikijisomea madaftari baada ya masaa 24 nasahau nilichokisoma lakin ikifika siku ya mtihani kumbukumbu zinarudi.
4605c4cc8f6cbaab489e3f0b39b57343.jpg

Je hili tatizo linasababishwa na nini?
Je nifanyaje ili niwe nakumbuka kila mara nilichojisomea.

Asanten
Ukijiona unakumbuka kuwa umesahau ulichosoma, BASI JUA HUNA TATIZO, MAANA UNA KUMBUKUMBU.... kwamba umesahau.... TENA UZURI ZAIDI UNAYAKUMBUKA ULIYOYASAHAU PINDI UNAPOKUWA KWENYE CHUMBA CHA MTIHANI...

Wenzio w=huwa wanasahau yote wanapoingia kwenye chumba cha mtihani...

BY THE WAY, KUKUMBUKA KITU WAKATI HUNA KAZI NACHO MUDA HUO, KUNA FAIDA GANI?
 
Shukran sana mkuu
 
Habari zenu,
Jaman tatizo langu ni kwamba kila nikijisomea madaftari baada ya masaa 24 nasahau nilichokisoma lakin ikifika siku ya mtihani kumbukumbu zinarudi.
4605c4cc8f6cbaab489e3f0b39b57343.jpg

Je hili tatizo linasababishwa na nini?
Je nifanyaje ili niwe nakumbuka kila mara nilichojisomea.

Asanten
Sasa kama siku ya mitihani una kumbuka hapo kuna shida gani sasa?
 
Back
Top Bottom