Kila nikisoma baada ya masaa 24 nasahau

Kila nikisoma baada ya masaa 24 nasahau

Jaribu kuelewa unapo soma usikariri...... yani ukisoma husianisha na real life ukishindwa ujue ulicho kisoma kipo for temporary kichwani kwako......na hii inapleka mtu kua na elimu alafu hajaa elimika....
 
duh! jambo ambalo naliweza kwa asilimia 20% tu!
kwaiyo mwl akiandika defn unaimeza hivyohivyo na kwenye paper huwa unaishusha hivyohivyo..?
Sometimes naimeza au naichanganuA maana mimi ni kiziw nakiwaga sielewan na mwalimu akiwa anafundisha namchora tu mpaka baadae huwa najisomea mimi mwenyewe
 
Kama unaona huko kusahau na kukumbuka siku ya mtihani ni kero achana na elimu/kusoma fanya mambo mengine!!!!!
 
Sometimes naimeza au naichanganuA maana mimi ni kiziw nakiwaga sielewan na mwalimu akiwa anafundisha namchora tu mpaka baadae huwa najisomea mimi mwenyewe
jaribu kujichunguza utajua tatizo lkn wengiwao hukariri kwasababu ya lugha! kiingeleza!! hawakijui so unakuta nivigumu kuelewa hasa kama asipotafuta maana yake(tafsiri ya hicho kiingeleza).
ndio maana wengi wanashusha defn ileile aliyoandika mwl..
lkn ktk lugha mtu anayoifahamu(rahisi kueleweka kwake pia anamisamiati ya kutosha) atakuandikia kitu kile kwa uelewa wake.. so lugha pia inachangia watu kukariri
 
Kwan mkuu KENZY ukikarir then ukijaza kwenye mtihan kama mwalimu alivyofundisha unafel au
 
Mkuu umenikumbusha kipindi nasoma pande flan iv nlikua na mchiz wangu mmoja,, jina ( Mpikachai) from Zenji...,,, huyu Yakhe bhn akiwa ndan darasan au bwenini anaeza soma lumbert topic hata 3 per day yan shida inakuja pale anapotoka nje akapigwa Jua kichwa kinabaki nazi tena ile teke yan ( hakuna kitu) sasa akagundua mbinu,, ile mida ya lunch nini yeye ni mwendo wa chini ya miti tu vivulini..,, ukimtoa kivulini anaeza akakupiga ngumi ukaimba haleluya...!!

sasa angalia bhn,, usije ukawa ka mshkadau yule ...
 
Kwan mkuu KENZY ukikarir then ukijaza kwenye mtihan kama mwalimu alivyofundisha unafel au
haufeli lkn haitakuwa vizuri wewe kuitwa msomi au mtu ulielimika!!
kukariri ni vyepesi kusahau hlf sidhani kama ni njia stahiki ndio maana wengiwao unakuta wanakuwa wanarudiarudia kusoma tena ili kuapdate vitu kichwani! ila alielewa ndo ameelewa mfano.. ukimuuliza simu ni nini atakujibu vile anavyoijua simu lkn yupo mulemule kwenye maana.. tofauti na aliekariri mpk avute kumbukumbu ashushe aliyoambiwa na ticha mpk nukta.
sasa na ktk uelewa lzm uwe na misamiati mingi ili ueleze vyema kile unachoulizwa na kama unavyojua sasa hii lugha ya ngeli wengi wao ni mashikoro mageni..ndo maana wengi hukariri!
 
Back
Top Bottom