Kila mmoja wetu ana kashetani kake

Kila mmoja wetu ana kashetani kake

Pamefanyiwa fitina! Palikuwa bomba sana kwa vishetani
Roho iliniuma sana....toka sec form1 disco toto nilikuwa naenda kipindi icho kina blue, abbyskillz na chidbenz vitoto tunajumuika...siku nikafosi kutoroka nikaingia usiku mamaaaaaaaa sikuingia tena disco toto nikawa night by night tu

kijishetani kibaya sana nilishawah bandua mtu maisha pembeni na watu wamekaa na nilifanya kama nimempakata kumbe nakula vitu...sikutosheka nikala mzigo tena kwenye ngazi kwa style kashetani kweli hakana dawa
 
View attachment 324225vishetani vyetu tumevibatiza jina la ugonjwa utamsikia mtu akikwambia mimi ugonjwa wangu ni mwanamke mwenye makalio makubwa(lakini hakwambii tiba yake wala atapona lini)
Vishetani viko vingi vingine ni vizuri vingine havisomeki na vingine vinatisha... .shetani ni roho yenye nguvu sana na ushawishi wa aina ya kipekee kabisa wengi wetu tumekamatika huko na hatuna uwezo wala nguvu za kujitoa kwakuwa hicho kitu ndio shetani wako unayemwabuduView attachment 324226
Imagine mtu yuko tayari kukosa kwenda kuabudu kuliko kwenda kwenye mpira...mtu yuko tayari kukosa kipindi cha dini kwenye tv kuliko bongo movie, mtu yuko tayari kufuta video yenye kufundisha mambo mema ili tu aweke video ya matusi....hii ni laana..!!!
Jichunguze kishetani chako ni kipi kisha tafakari...kupenda JF ni hobby kupenda mambo ya kishirikina ni maarifa sio ushetani...usichanganye mada
😀😀 usichanganye mada
 
Mimi labda kuingia humu jf jamani, yaani bora nisile ila ninunue bando, so sad labda jf ndo shetani mwenyewe
 
IMG-20171105-WA0147.jpg
 
Back
Top Bottom