Kila mmoja wetu ana kashetani kake

Kila mmoja wetu ana kashetani kake

Kishetani changu kinanionea yaani mimi nikishalewa ni wanawake tu,kutembea na wanawake wasiopungua wanne kwa kila mwezi jambo la kawaida nikijafunga hesabu kwa mwaka si chini ya 48.huyu shetani ashindwe sasa.
[emoji23] [emoji23] cha wengi hicho
 
View attachment 324225vishetani vyetu tumevibatiza jina la ugonjwa utamsikia mtu akikwambia mimi ugonjwa wangu ni mwanamke mwenye makalio makubwa(lakini hakwambii tiba yake wala atapona lini)
Vishetani viko vingi vingine ni vizuri vingine havisomeki na vingine vinatisha... .shetani ni roho yenye nguvu sana na ushawishi wa aina ya kipekee kabisa wengi wetu tumekamatika huko na hatuna uwezo wala nguvu za kujitoa kwakuwa hicho kitu ndio shetani wako unayemwabuduView attachment 324226
Imagine mtu yuko tayari kukosa kwenda kuabudu kuliko kwenda kwenye mpira...mtu yuko tayari kukosa kipindi cha dini kwenye tv kuliko bongo movie, mtu yuko tayari kufuta video yenye kufundisha mambo mema ili tu aweke video ya matusi....hii ni laana..!!!
Jichunguze kishetani chako ni kipi kisha tafakari...kupenda JF ni hobby kupenda mambo ya kishirikina ni maarifa sio ushetani...usichanganye mada
Utafikiri sio wewe Mshana mzee wa matunguli
 
Kishetani changu mimi ni unywaji wa pombe ufukweni huku nikiwa na mtu wa jinsia tofauti jirani yangu ambaye hajajisitiri vizuri
 
Back
Top Bottom